Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Chistopher Chiza (suti nyeusi)akikagua mradi wa maji wa umwagiliaji kijijini Msoga mkoa wa Pwani wakati wa uzinduzi huo leo, katika mojawapo ya shughuli za Wiki ya Maji. Shoto ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Magesa Murongo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hivi mbona post za viongozi kutembelea miradi mbali mbali/kufungua miradi mbali mbali/na mambo yanayofanana na hayo zimekuwa nyingi?
    Au ni kwa kuwa uchaguzi unakaribia?
    Au mimi tu najishtukia?
    Au?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...