Mratibu wa Tamasha la Zanzibar International Film festival (ZIFF) Daniel Nyalusi akifafanua jambo mbele ya waandishi, watengeneza filamu,waigizaji na wadau wengine kuhusiana na mchakato mzima wa tamasha hilo,Shoto kwake ni Mdau Mkuu Edward Lusala
Meneja Masoko wa tamasha la ZIFF,Laurian Kipeja pamoja na Mratibu wa tamsha hilo Daniel Nyalusi wakionyesha bango lao jipya litakalotumika mwaka huu kuhamasisha tamasha hilo lililowahusisha waandishi, watengeneza filamu,waigizaji na wadau wengine.
Muigizaji wa mahiri wa Filamu hapa bongo Jacob Stephen a.k.a JB akitaka ufafanuzi zaidi kutoka kwa waandaaji wa tamasha la hilo la Nchi za Jahazi kuhusiana na nafasi yao ya ushiriki



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Naona wamepania Tamasha la mwaka huu iwe nzuri kuliko miaka ya nyuma! Namwona mwigizaji Mzee Olotu (Uncle kwenye sinema Bongoland 2)hapo!

    ReplyDelete
  2. Kila kukicha ni tamasha, sijui elekeza mweeee mi sichemi kitu ooooppps I just did

    ReplyDelete
  3. Hivi kwanini hili tamasha lifanywe Zanzibar? Kwanini halifanywi Tanganyika ambako ndiko kunakotoka wasanii wengi? Au kuna ajenda nyengine ya siri?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...