dereva unauaaaaaaaaaaaaaa....!!! anamaka mdau mwenye kanzu na kofia wakati gari linalorudi nyuma linapombana mpitanjia aliyekuwa anakatisha kati ya hilo gari na baluni mchana huu mtaa wa jamhuri karibu na iliyokuwa cameo cinema zamani
derevav anazidi kurudi nyuma na kumbana mpita njia wa watu maskini
hatimaye dereva anapostuka na kusogeza gari mbele mpitanjia anachoropoka...



Mchango wa mpiga picha katika hili tukio ulikuwa nini?
ReplyDeletehuyu dereva mshenzi sana kwani hana sight mirro? mana isinge kuwa kubana jamaa basi angechuna baloon ya watu,hivi TZ hamna driving school hivi.
ReplyDeletemashne kwanza vp ihai?!
ReplyDeleteAIIIIIII JAMANI MKAKA WAWATU WANAMMINYA IKULU POLEE EH. JOYCE.
ReplyDeleteUWWWWWIIIIII Bongo tambarare. Ingekua ni uku huyo mpitanjia kesha tajirika. Mwenye gari kafilisika na dereva wake chamoto anacho..
ReplyDeleteYaani mtu anajirudia tu nyuma mpaka agakwangua hiyo gari iliyopakiwa hapo na kugonga watu na watu wanaagalia tu. hao trafic wa barabrani wako wapi?
kwanza hizi picha ni ushahidi tosha nadhani hata aliyekwanguliwa gari lake atajua nani wa kumsue
Masikini nchi yangu
Wewe anony wa kwanza hapo juu acha zako hizo, kama hizo picha hazina mchango wowote michuzi angeziweka? au ndio nyie wapinga maendeleo, kila watu wanapojaribu kufanya la maana basi lazima mtie domo tindi, mmekaa na roho mbaya tu kila siku. Hivi mtaelimika lini nyie?
ReplyDeleteBONGE LA MOVIE!!!!
ReplyDeletehawa wa hindi nao wamezidi kujipenyesha penyesha nyuma nyuma sana kwa nini asinge pita kwa mbele. tatizo la wa hindi wanaamini sana ushirikina kamwe awawezi pita mbele adi apite nyuma.
ReplyDeletemtu mwenyewe nahisi ni muhindi,labda dereva alikuwa analipiza kama wao wanavyo wanyanyasa ndugu zetu,mhindimtanzania ni muhindi,short live dual citizenship,
ReplyDeleteAhaaahaa! pole zake Mdosi wa watu, lakini ingekuwa Unyamwezini huyu Mdosi angekuwa tajiri tayari mambo ya Bima nini......!
ReplyDelete