Kaka Michuzi..
natumai unaendelea vizuri na libeneke la kila siku. kaka nakushukuru sana kwa mambo matamu ya kutuhabarisha unayotupa na kutuwekea kwa blog yetu ya jamii kila siku.Najihisi niko home kila mara niingiapo ndani ya libeneke na nanihii...
Mimi ni Mtanzania nipo huku Iraq napambana.Huku peace sana sio kila sehemu ina matatizo.. na muda mrefu sana sijawahi kusikia mshindo wa explosion.. Hapa tuko na ndugu zetu wachace tokea Uganda na Kenya.. ila kwa Tanzania sijawaona huku labda wapo ila sijafahamu hilo.
kaka naomba nirushie hii kwa blog kama kuna Mbongo huku Iraq please tutafutane, namba yangu ya simu hii +9647503172128 (Korek)
Mimi Mdau wa Iraq
Faustin
Skype:faustinshoo
Faustin
Skype:faustinshoo


Mimi niko AFGHANISTAN kama vipi nichek hapa mdau mwenzangu, kama tutafika asubuhi...!
ReplyDeletekalumekenge@gmail.com
skype: kalumekenge
0033788292968
Mimi nipo Pakistan kama nini nicheki naweza kutembea chini kwa chini ardhni tukaonana...nadhani tutafika bila kuonwa na wamarekani!!!
ReplyDeleteMie niko faluja huku.
ReplyDeleteWasiliana na mimi bmnyonge@gmail.com
WABONGO NIMEAMINI NI WABISHI SASA HUKO IRAQ UNATAFUTA NINI JAMANI
ReplyDeleteKWA TAARIFA YAKO HUKO HUMPATI MTU KAA MWENYEWE KWANZA WABONGO KWA KUOGOPA MABOMU YA MBAGALA TU KAZI ILIKUWA SIO NDOGO LOOOOOOOOO mwe
nikitaka kucheka huwa nakuja michuzi kusoma maoni...tehe tehe tehe tehe...
ReplyDeleteKamulenge nimesha kuadd kwa skype..tutachonga kaka. mzee wa Pakistan mimi siwezi kukuona ardhini..
ReplyDeleteDuh!! wadau kweli mmeamua kusakua, you are all over the place. Mungu awe mbele yenu kwa kila zuri mtalolifanya mkiwa huko.
ReplyDeleteHao wadau wanaosema huku ni hatari nyie kaeni bongo..mbona mbagala kunatisha kaka.oky kaka wa Faluja nimekusoma.mi niko Erbil.
ReplyDeleteSema mkuu.. mimi niko Basra. tuko na wakenya huku.. wabongo wanajua huku nchi nzima ni hatari.mimi niko shwari kabisa muda wote.
ReplyDeletejoelmukusa@gmail.com
nyie wadau hapo juu mnatuua kwa kucheka duh!
ReplyDeletemdau vietnam
nimechanganyikiwa kwa kicheko apa..
ReplyDeleteaisee mungu awawezeshe kwa mambo yote mema mnayofanya uko,najua mtakua mmeenda kwa kutafuta maisha na asa maeneo km ayo yana dili sana sema ni ulinzi tu!!u are real pple
aiseee
Ukitaka kujua kama wabongo wapo huko Iraq, ukiingia youtube kuangalia video mfano 'mapozi' au 'nyimbo za injili' ukaenda ktk sehemu iliyoandikwa 'data & statistics' juu kidogo ya 'comments' utawekewa ramani ya dunia ikionyesha nyimbo hiyo iliyo 'popular' Iraq na afghanistan n.k Hiki ni kithibitisho hasa kuwa kuna wazungumzaji wa kiswahili maeneo hayo. Sambamba na Oman, Saudia, Pakistan, Iran n.k
ReplyDeleteMdau
Mchambuzi
mdau kama vp toa mchongo ili watu wajue wanajipanga vp...kama kuna lipa na mambo ya saudia hakuna wabeba box wahame kiwanja...haijalishi mabomu kama kuna inshu wa2 wanajipanaga 2...
ReplyDeletenyie kweli ngoma ngumu dah!! ebana C mchezoo!!! hongera, ila Msikae sana huko msije mkadata akili na hiyo milio ya ma bomu, Dahh nchi gani hata ukisikia tre la gari limebust au mpira wa baiskel unatoka nduki...ujua kumekuchaaaaa
ReplyDeleteMI NGOJA NIANDIKE KWA HERUFI KUBWA KUONYESHA MSISITIZO. HAO WANAOCHEKA NAWASHANGAA. NYIE WADAU WA AFGHANISTAN, PAKISTAN IRAQ, SAUDIA PIGENI KAZI HATA KAMA KUNA WA KOSOVO NYIE PIGENI KAZI MSIJALI.ILA TUNAONA WENZETU KUWA WAKO KWA HATARI JE SISI TUNAOFANYA NGONO ZEMBE JE HATUOGOPI NGOMAAAA (HIV).AU TUSEME NGOMA DROO. WACHENI KUKATISHA WATU TAMAA BWANA.KAKA BIG UP WE KIDUME KAKA NAKUFAGILIA 100%
ReplyDeleteKaka mimi niko Haiti lakini hivi sasa kuko tight tokea kale katetemeko katokee..sasa kama uko Iraq kuko poa nipe mchongo kaka niingize team...
ReplyDeletesongombingo@yahoo.com
Nyie mnacheza mie mwenzenu nipo zauzi zudani hapa naitafuta europa boda to boda
ReplyDelete