Rafiki yetu May Mbogo amefariki dunia juzi jumapili usiku katika hospitali ya Muhimbili ambako alikuwa amelzwa tokea mwezi Agosti , 2009.
Msiba uko nyumbani kwao mikocheni karibu na Cambridge College na
mazishi yanatarajiwa kuwa kesho jumatano saa 8 mchana.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Jina la bwana na lihidimiwe.
Mola aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi - Amina

kwa wale waliosoma Jangwani miaka ya tisini 1989-1992 na Tambaza miaka ya 1993-1996 watakwua wanamfahamu, kwani alimalzia Tambaza mwaka 1995.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. POLENI SANA WAFIWA - weka picha yake tumkumbuke vizuri

    ReplyDelete
  2. R.I.P May

    Jamani wekeni picha tumuone marehemu.

    Nakumbuka hilo jina ila sura imenipotea.

    Ungeweka info zaidi ingesaidia kama, wapi msiba na mazishi?

    Poleni wafiwa na msiba.

    ReplyDelete
  3. Poleni sana.. Hivi huyu ni mdogo wake Mike Mbogo wa mwenge kijijini

    ReplyDelete
  4. RIP May
    Alikaa mwenge kijijini enzi zile za miaka aliyosoma Jangwani na Tambaza

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...