Mdau David D. Mpwani toka Singida akiwa na mwalimu wake baada ya kula nondozzz ya Masters of Divinity katika chuo cha ADVENTIST INTERNATIONAL INSTITUTE OF ADVANCE STUDIES huko Ufilipino ambako anaunganisha PhD kabisa.
mdau akipeperusha bendera yetu kwenye mahafali hayo
Mdau Peter Mukama Maiga akila konozzz na
wala nondozzz David Mpwani (kulia) na Sylvanus toka Canada
wadau wakisherehekea nondozzz ya mdau
wadau wakijumuika na mla nondozzz na waalimu wake kusherehekea





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hongera sana mdau wa ufilipino kwa kuzidi kuongeza idadi ya nondo bongo hongera sanaaa mrudi home mfanye kweli

    ReplyDelete
  2. kwa wakwe huko ni raha tuu. karibuni tuongeze matawi

    ReplyDelete
  3. duu wabongo mko juu ulipataje hili dili la kusoma huko!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...