Rafiki yetu May Mbogo amefariki dunia juzi jumapili usiku katika hospitali ya Muhimbili ambako alikuwa amelzwa tokea mwezi Agosti , 2009.
Msiba uko nyumbani kwao mikocheni karibu na Cambridge College na
mazishi yanatarajiwa kuwa kesho jumatano saa 8 mchana.
mazishi yanatarajiwa kuwa kesho jumatano saa 8 mchana.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Jina la bwana na lihidimiwe.
Mola aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi - Amina
kwa wale waliosoma Jangwani miaka ya tisini 1989-1992 na Tambaza miaka ya 1993-1996 watakwua wanamfahamu, kwani alimalzia Tambaza mwaka 1995.
kwa wale waliosoma Jangwani miaka ya tisini 1989-1992 na Tambaza miaka ya 1993-1996 watakwua wanamfahamu, kwani alimalzia Tambaza mwaka 1995.
POLENI SANA WAFIWA - weka picha yake tumkumbuke vizuri
ReplyDeleteR.I.P May
ReplyDeleteJamani wekeni picha tumuone marehemu.
Nakumbuka hilo jina ila sura imenipotea.
Ungeweka info zaidi ingesaidia kama, wapi msiba na mazishi?
Poleni wafiwa na msiba.
Poleni sana.. Hivi huyu ni mdogo wake Mike Mbogo wa mwenge kijijini
ReplyDeleteRIP May
ReplyDeleteAlikaa mwenge kijijini enzi zile za miaka aliyosoma Jangwani na Tambaza