Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Ankal Michuzi naomba uiposti hii na wengine waione:

    Kuna tukio nililiona MAISHANI:
    Acheni niwape heshima iliyotukuka wanawake woote;
    IMAGINE:

    ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau!!!

    UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka na kulia sana. Anakuchukia lakini baadaye anakusamehe. Halafu analea mtoto uliyemzaa nje kwa upendo. Kama ni kuchukiwa atachukiwa mtoto, si wewe uliyefanya umalaya!

    UNARUDI USIKU WA MANANE UKIWA MTUNGI: Anakukaribisha, anakuandalia chakula, unagoma kula. Anahifadhi chakula alichokuandalia bila manung'uniko.

    UNAAMKA ASUBUHI NA MAHANGOVER: Anakuandalia staftahi (saa nyingine unagoma kutumia staftahi yake unakimbilia baa kwenda kunywa Supu na kuzimua. Wala halalamiki!

    CHAKULA CHA USIKU: Ushapiga mtungi wako, unataka huduma. Unamrukia, hamna maandalizi unamuumiza. Anavumilia ili akuridhishe. Na kesho yake tena inaweza tokea hii; hana kinyongo!

    UNAJIANDAA KWENDA KIBARUANI: Unakuta kashakuandalia viwalo, suruwale imenyooshwa kama ya askari trafiki, shati limepigwa pasi ya maana! Nguo ulizovua jana zimeshalowekwa tayari kwa kufanyiwa usafi! Ulichomuudhi jana kashasahau na kukusamehe!

    UNAMPA UJAUZITO: Anauthamini, anautunza anajifungua kwa uchungu, mtoto anakuachia wewe umpe jina, la kwake halimo kabisa kwenye majina atakayotumia mtoto! Na pamoja na uchungu wa kuzaa, bado yuko radhi kukuzalia mtoto mwingine na mwingine tena!

    Na mengine meeeeengi sana wanafanyiwa hawa watu lakini WANASAMEHE, WANAVUMILIA! Ni watu muhimu sana hawa watu maishani mwangu!

    HIVI INGEKEWA WANAUME

    TUNAFANYIWA HIVI INGEKUWAJE?

    Kwa leo acheni tu niwape

    heshima zao wanawake wote:

    I SALUTE AND LOVE THEM WOMEN!

    Abuuu from Japan

    ReplyDelete
  2. Hii ni shule ya Seminary au dini mbali mbali twaweza jiunga???

    ReplyDelete
  3. Mmmh inaonekana ipo kwenye madhari mazuri. Ziwani kabisa au picha tu?

    ReplyDelete
  4. Masha-Allah shule ya nguvu sana,ama kweli sasa waislamu tumeamua kuwekeza kwenye elimu.kila la kheri

    ReplyDelete
  5. du jina la shule kasheshe

    ReplyDelete
  6. hey hey! Tanzania vipi ni juzi tu nimesoma hapa matumizi ya neno "kusimikwa" leo ni "nyegezi" huu ni utani au watanzania tunasahau lugha yetu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...