Home
Unlabelled
JK asaini sheria ya matumizi ya fedha kwenye uchaguzi leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
KAAZI KWELI KWELI KILA MMOJA ANATOA MACHO KWENYE RUZUKU HAPO WOTE WANALILIA HICHO KITI ALICHOKALIA MHESHIMIWA RAIS
ReplyDeleteALAFU MBONA HIYO MEZA CHOKA MBAYA UKIANGALIA KWA CHINI SEHEMU YA KUWEKEA MIGUU IMEFANYA KUSAGIKA
WADAU HIYO IMEKAAJE ? ALAFU HIZI KWELI HAPO KUNA MWENYE MATUMAINI YA KUITOA CCM KWENYE MADARAKA???????
CCM IMEJIJENGA KILA KONA MPAKA NJE YA NCHI HIVI ITAWEZA KUANGUKA KWENYE UCHAGUZI KWELI?????
MIMI NAONA HAPO NI KUTAFUTA RUZUKU TU LAKINI UKISEMA MAMBO YA SIASA HAPO HAMNA SIASA WANA JAMII TANZANIA NI CCM NA CCM NI TANZANIA
HAPO WANGEFANYA CHA MAANA KUBADILISHA JINA LA TANZANIA NI BORA INGEITWA CCM
mbona mboye hayuko,yani chadema hawajui siasa kabisa,wanasiasa za chuki na uhasama,ndo maana wanashinda tarime na karatu,maana kule fujo ni kama sehemu ya maisha yao.ndo maana zito yuko mguu nje mguu ndani,maana anaona chama hakina muelkea,hawana sera kazi kushikilia neno ufisadi.nawashauri cuf,tlp na udp wasimame pamoja,watz tuko nyuma yenu,tuiondoe ccm.
ReplyDeleteHIYO SHERIA SI YA VYAMA WALA RAIS NI SHERIA YETU SISI WANANCHI SASA KITACHOTAKIWA NI KUWA ISAMBAZWE NA WANANCHI WAISOME WAILEWE ILI KAMA WANATAKA KUWABANA WAFUNJAJI WA SHERIA HIYO WAJUWE WATAFUATA MISINGI GANI, KUSAINIWA TU HAPO NA KUTUPWA KWENYE DROO YA MEZA HAISAIDI KITU, MNAWEZA KUSAMBAZA KUPITIA, VIPEPERUSHU MAJUMBANI MWA WATU, MAGAZETI, BLOGS KAMA HII YA MBUNGE MTARAJIWA MICHUZI, TV, RADIO NA KONGAMANO, SISI WANANCHI TUNATAKA KUZIJUWA HIZO SHERIA PIA.
ReplyDeleteKIKWETE ANAMWIGA OBAMA KATIKA STYLE YAKE YA KUSAINI SHERIA?
ReplyDeleteAma kweli Binadamu unafikia Umri wa utuzima na halafu ukarudi tena Utotoni ,sasa Huyo Mzee Kingunge kinachomkesha hapo nini Hasa ?Mkuu wa nchi anaweka saini hivi kuweka saini ni jambo la kuchekesha jamani?sidhani kama kulikuwa na jambo la kuchekesha hapo kwani waliohidhuria wote wapo kimnya wakishuhudia Rais akiweka mkwaju,lakini kwa vyovyote vile tukubali na sisi tunaelekea huko huko, Umri wa mtu unafika mahali na kufanya kazi yake
ReplyDeleteHuyo mwenye kofia kama Obutu ni nani? kuhusu meza inatakiwa kutochangiwa like U.S white house Meza zilizokuwepo enzi zile zipo mpaka leo
ReplyDeleteHuyo askari hawezi tafutiwa pengine pa kubana? Sharti awepo hapo?
ReplyDeleteNdipo napochoka na wanasiasa wa TZ,Lipumba, Cheyo walikua wanapinga huu mswada.Leo wanahudhuria halfa ya kusaini-maana´yake wameukubali?
ReplyDeletekutia sahihi ni jambo na kuitumia sheria ni jambo jingine> Sioni umuhimu wa mbwembwe kamam hizi ikiwa sheriaa yenyewe itwekwa kabatini. Sheria za kukabili ufisadi zipo lakini mbona hawapelekwi mahakani?Watanzania tusifurahie kusainiwa sheria tujiulize itatumika?Na kwa kuangalia jinsi mambo yanavyoendeshwa sidhani kamam kuna haja ya kusherekea eti kusainiwa sheria!!!hahahaha
ReplyDeleteAre we serious jamani? Mbona mm kama sielewi elewi hivi?
ReplyDeletePicha imependeza. Ingependeza zaidi kama kungekuwepo na watoto wawili watatu vilevile kuonesha kuwa hii ni sheria itayonufaisha na kizazi kipya.
ReplyDelete.....subira yangu ndiyo iliyoniponza ngojangoja naonekana zoba....ze comedy
ReplyDeleteMICHUZI SAMAHANI NAOMBA MSAADA KIDOGO MIMI NATAKA NIMPATE HUYO ANONY WA PILI NITAMPATAJE KUNA KITU NATAKA NIMFANYIE PHYSICALY ILI ASIRUDIE TENA KUCHAFUA HALI YA HEWA, JAPO IYO HALI KINGECHAFULIWA CHAMA FULANI USINGEPOSTI. PLZ NISAIDIE NIMPATE HUYU MTU.
ReplyDeleteMzee Kingunge Ngombalemwilu pumzika baba utaanguka siku moja, nakushauri ustaafu mzee.
ReplyDelete