Familia ya Juma Kibayasi wa Morogoro Tanzania tunapenda kutoa shukrani za dhati kwa kila mmoja wenu katika kushiriki kwenye wakati mgumu wa msiba wa mama yetu mpendwa Mrs. Kibayasi aliyeitikia wito wa Mola February 14, 2010 huko Minnesota Marekani.
Ikiwa ni zaidi ya siku 40 tangu aitikie wito huo wa maanani tunamkumbuka kwa swala na dua ambapo nyumbani kwa marehemu huko Morogoro, tutakuwa na dua Jumamosi Machi 27, 2010 saa 4 asubuhi wote mnakaribishwa kwa moyo mkunjufu.
Si rahisi kutoa shukrani kwa kila mmoja lakini familia ya Kibayasi tunapenda kutoa shukrani za dhati kwa wote walioshiriki katika msiba huu mzito, pia shukran za pekee ziende kwa Madaktari wa HCMC Minnesota, Jumuiya ya Watanzania Minnesota na marafiki wa jumuiya hiyo, Sauti ya Amerika (VOA) Washington Dc, Maimam wa Kunduchi Dar es salaam, Maimam wa Morogoro na Mwanza Tanzania.
Innalilahi wainna Lilahi rajun.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...