Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la UVCCM Taifa Ridhiwan Kikwete, akimvisha joho Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa Shy-Rose Bhanji ikiwa ni ishara ya kumsimika rasmi kama Naibu Kamanda wa Vijana Kata ya Kijitonyama jijini DSM jana.
Naibu Kamanda wa Vijana Shy-Rose Bhanji akiteta jambo na mgeni rasmi, Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la UVCCM Taifa Ridhiwan Kikwete
Mwenyekiti wa Vijana Kata ya Kijitonyama Ismail Mwenda, akipokea sehemu ya mipira 50 kutoka kwa Mgeni rasmi Ridhiwani Kikwete kwa ajili ya kusaidia timu za soka kwa matawi 9 ya Kata ya Kijitonyama. Mipira hiyo ilitolewa na Kamanda wa Kata ya Kijitonyama Tony Ngombale Mwiru (kulia) na Naibu Kamanda wa Shy-Rose Bhanji ili timu za vijana wa Kata hiyo.
Naibu Kamanda wa Vijana Shy-Rose Bhanji akiteta jambo na mgeni rasmi, Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la UVCCM Taifa Ridhiwan Kikwete
Mwenyekiti wa Vijana Kata ya Kijitonyama Ismail Mwenda, akipokea sehemu ya mipira 50 kutoka kwa Mgeni rasmi Ridhiwani Kikwete kwa ajili ya kusaidia timu za soka kwa matawi 9 ya Kata ya Kijitonyama. Mipira hiyo ilitolewa na Kamanda wa Kata ya Kijitonyama Tony Ngombale Mwiru (kulia) na Naibu Kamanda wa Shy-Rose Bhanji ili timu za vijana wa Kata hiyo.
Kusimikwa?? ama kweli kiswahili kinabadilika kila kukicha!!! jamani maana halisi ya neno hili hata sijui nianzie wapi, haya jamani yangu mimi macho!!!!
ReplyDeleteHongera Shyrose kwa kusimikwa na Ridhwani.
ReplyDeleteHongera sana mama Shyroz maana umetoka mbali umehangaika sana kupata recognisheni na sasa angalau unaona a light at ze end of ze tunnel . nadhani sasa utafikiriwa hata ubunge wa viti maalum au kuteuliwa .
ReplyDeleteShyrose hataishia kwenye ubunge tu, bali naweza kutabiri kwamba ataukwaa unaibu waziri .... mwingine ni Imelda Mwamanga; watch this space!
ReplyDeleteLike Father like Son, Ridhiwani Kikwete, Tony Ngombale Mwiru
ReplyDeleteSwali: Nimeona wanachama mbali mbali wakisimikwa na wanachama wenzao labda wenye wadhifa fulani ktk chama, je katika mfumo wa uongozi wa CCM ni nani mwenye mamlaka ya kusimika nani?
ReplyDeleteAMA KWELI NCHI HII YA KURITJIANA< VIZAZI NA VIZAZI??
ReplyDeleteANGALIA MAJINA HAYO JAMA
YETU MACHO
Udumu ufalme,Tanzania Bara na Visiwani!
ReplyDeleteShyrose,
ReplyDeleteKatu usikubali kuambiwa kuwa HUWEZI...UNAWEZA!!!!!
NINA COMENT YANGU NDEEEFU SANA KUHUSIANA NA RIDHIWAN KIKWETE LAKINI KUTOKA NA KWAMBA NINA UHAKIKA MICHUZI ATAIBANIA SINA HAJA YA KUPOTEZA MDA WANGU. MICHUZI UBADIRIKE MAANA NIMEPOTEZA IMANI NA WEWE KUMBUKA KWAMBA WATU WANAHAKI YA KUSEMA WATAKALO ILI MRADI HALIVUNJI SHERIA ZA NCHI.
ReplyDeleteKaka Michuzi! mbona hujabandika maoni yangu niliyoandika jana kuhusu hao vijana waliopeku na ndala zilizochakaa wakimusapoti SHY ROSE. Bandika hiyo kwani siyo haki kuoneana hivyo.
ReplyDeleteLini viongozi wetu na viongozi watalajiwa watawajali wapiga kula wao.
Sis Shyrose, Sisi tunaokufahamu na tuliowahi kufanya kazi na wewe kwa karibu au mbali tunakupa pongezi za dhati. Endelea na uchapakazi na commitment yako na tunamuomba Mungu Muumba akupe kila la heri. Your bro J. Ngowi.
ReplyDeleteMwaka huu sijui yetu macho.....yaani waTZ wanafikiria siasa ndo mambo yote
ReplyDeleteMICHUZI ANABANA COMMENTS ZA WATU KWA SABABU HII PICHA KAWEKA KUPIGIA DEBE NA KUMTANGAZA HUU DADA HIVYO COMMENTS ZOTE ZA MRENGO WA KUSHOTO ANAWEKA KAPUNI.
ReplyDeletehongera dada shyrose tuko nyuma yako
ReplyDeleteshyroz sasa ugombee ubunge wa jimbo karibu kawe
ReplyDeletemnyonge mnyongeni haki yake mpeni, shyrose tunamkubali kwa sababu ni mchapakazi. Hongera Kamanda. Ushauri wangu kwako shyrose na kamanda tony na wengine waliosimikwa ni kwamba saidieni vijana na isiwe tu ni njia ya kutimiza azma yenu. Tutawapima kwa yale mtayofanya na kama pia hamfai pia tutawakataa ila kwa leo tunawatakia kila heri
ReplyDeletedada shyrose kwanza hongera sana kwa kusimikwa unaibu kamanda. pili nataka nikwambie nimekuwa nafuatilia harakati zako sana na ukweli kutoka moyoni mwangu huwa unanifurahisha sana na jinsi usivyokata tamaa bado nakumbuka ushindani mkali sana pale dodoma ulipochuana nafasi ya UNEC na Mhe Londa na hatimaye ukashindwa kwa kura moja! mtoto wa kike huchoki kupambana, kiukweli unakubalika. Endelea na moyo huwa wa ujasiri na iko siku utafika. ni hayo tu
ReplyDeleteMichuzi kaka hata kama CCM imekufikisha hapo, basi zuga kidogo, post baadhi ya comments za wat, kila mtu mtaani anaongelea hii tabia yako sasa, wabongo wameshashtukia
ReplyDeleteUbunge mbona keshapata? Yaani hapo piga ua mwakani yuko mjengoni tena kwa ule wa kuteuliwa bila kuvuja jasho....
ReplyDeleteridhwani uko juuuuuuuuu
ReplyDeleteMICHUZI KUNA NAMNA UNANICHEFUA SANA MAANA NIMETOA KUMENTI KAMA MBILI HIVI NAIPA LIVE FAMILIA YA KIKWETE KUPITIA ridhiwan(HERUFI NDOGO. LAKINI HUZIPOST WEE SI UWEKE TUU UNAOGOPA NINI MAANA HATA WAKIKUFUATA SI HUO NI MTAZAMO WANGU. EBANAEE NAWEWE NIWALEWALE NGOJA NIACHANE NAWEWE
ReplyDeletecomment zangu zote huyu jamaa anazipiga chini nimeamini kuwa na wewe ni wale wale na kuanzia leo sina mpango tena na hii blog ya wapiga debe wa ccm
ReplyDeletena mwenyewe ni kada na ni usalama wa taifa endelea kubana na hakuna faida kuweka glob hapa kama unabana
HONGERA Shy Rose! Keep up the good work!
ReplyDeleteSIASA IMEKUWA KIPATIA RUZUKU TUNAJUWA.JITAHIDINI MTAFANIKIWA..HIVI HAWAWANAOINGIA SIASA WAMESOMEA SIASA AU NDIO KURITHISHANA MATAJI???
ReplyDeleteKIASI WAIOGOPE DUAL CITIZENSHIP......
hivi baba yako akiwa mwanasiasa lazima na wewe au ukoo mzima muwe hivyo. ona aibu we Ridhiwan tafuta kazi nyingine na si mkumbo kwa baba.
ReplyDeletelazima tukutose tu,we angaika uko mara mjumbe wa nec mara sijui nininini lakin mwisho wa siku tutakuchinjia baharini. ALAAA!!! MNADHANI HII NCHI NI YA KIFALME
hongera shyroz kwa kusimikwa na ridhwan
ReplyDeletekaka michuzi asante kwa kutuhabarisha blog ya jamii iko juu asikwambie mtu kitu hongela dada kwa kusimikwa na riziwani. sasa fanya kazi watu wasipate la kuongea
ReplyDeletekaza buti dada 2010 ni mwaka wako
ReplyDelete