Home
Unlabelled
SKYLINK TRAVEL & TOURS MOVE INTO NEW OFFICES
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hili jengo limefunika TDFL Kabisa! Sielewi mji wetu unapangwa vp!
ReplyDeleteOfisi ya Bosi imetulia sana! Watanzania weusi waliosoma wangekuwa na ofisi kama hii, Nchi yetu ingekuwa mbali sana. Kwa kifupi ni kwamba, uki-ipamba na kuisafisha ofisi unakuwa huchoki kukaa ofisini.
ReplyDeleteGood office, good building.
ReplyDeleteNimependa picha ya
ReplyDelete4 kutoka chini
Mla mla leo ,mlajana kala nini?
Moustafa Khataw is an exceptional CEO.
ReplyDeleteTanzania inahangaika kutafuta atakayeweza kufufua ATCL, anayefaa ni huyu kwa sbabu ana track record.
Wengine wababaishaji tu.
Nchi hii airline inapoteza hata kibali cha kuruka kwa uzembe tu na bado serikali inalipa shirika ruzuku badala ya kuwatimua watendaji, excuses kibao.
Asante Khataw, kazi yako nimeikubali, huna mpinzani katika travel Industry in Tanzania.
(US Blogger)
Naomba nisieleweke vibaya, ila hiki ndicho nilichoona: Ingia http://www.skylinktanzania.com/about_us/people, nimeona Management Stuff (say all whose pictures were posted), 24 staff in total. I recognize 22 names that I can say are Islamic names, 2 Christians...Nikisema nina kesi ya udini hapa nitakuwa nimekosea? Kama ofisi zingekuwa Dubai, ama hata Z'Bar, someone could justify, ila Dar? Naomba kuwasilisha.
ReplyDeleteThanks for drawing our attention. We have to update our website with photos of new staff who have recently joined our Team.Skylink Travel is an equal opportunity employer and does not discriminate based on creed, colour or gender. Moustafa H Khataw - CEO
ReplyDeleteSkylink Travel & Tours Ltd truly is an equal opportunity employer and does not discriminate based on creed, colour or gender. I can guarantee that as i have been working with Skylink Travel & Tours Ltd since 2007 and i have not had a problem at all. Talib Chagani - Branch Manager, Arusha
ReplyDelete