
Picha na Francis Dande wa Blog Ya Jamii
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
du kweli vibonde
ReplyDeleteHongereni stars, lakini msibweteke
ReplyDeleteKwa jinsi nnavyoifahamu Bongo na Wabongo wenzangu, hapo tutapiga kelele na kuisifu Staaz na maksimo (likiwa moja ni Ksimo au Liksimo) kama vile tumeifunga Kameruni au Bolivia. Maksimo juu!!! ndiyooo, juu ... juuu, ... juuu zaidiii, ... kaziiii!!!
ReplyDeleteKwa timu kama hiyo, ilibidi Staaz wavunje rekodi ya mabao katika futiboli sio kuishia magoli sita tu. Wachezaji ambao wako kwenye ligi msimu mzima ni aibu kupata mabao sita tu dhidi ya timu ambayo nchi yao haina ligi, wanakusanyana vijana kutoka kambi ya wakimbizi na kufanya timu na kuiita ya taifa ambayo inawatunishia misuli Taifa Staazz! Aibu. Aibuuu, ... aibu kabisa!
Hata Sifa Renjaaazz wanatakiwa kuwamiminia kapu la magoli wakicheza na timu kama ya Taifa ya Somalia. Eti mastaa wa timu za ligi za juu za Bongo wanafunga goli sita tu jamani? Liksimo inabidi lijiuzuru kabla ya mkataba wake kwisha, hata kama zimebakia siku nne tu kwa mkataba huo kukatika!
Mkereketwa wa Nchi inayoteketea kila engo (afya, lishe, elimu,viwanda, uongozi bora, utamaduni, uchumi, maadili, miundombinu, na kila kitu)
UGHAIBUNI
DAYASPORA
SPMALIA HAKUNA NCHI WATU WAKO VITANI TOKA MIAKA 30 ILIYOPITA HATA MKIWAFUNGA MAGOLI 1,000,000 KWA ZERO NI SAWA TU
ReplyDeleteyaani mdau wa kisiju una majungu sanaaaaaaa!! wewe mwanga nini? manake hutaki kusifia kwenu kabisaaa?! but kumbuka dua la kuku alimpati maximo!!!! utashanga miujiza na huta kaaa ukaamini kwani imani yako ni ndogo yakuwaza majungu na fitna Ushindwe na ulegee!! mdau Dayaspora!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteaaah wapi mmepata mteremko kachezeni na cameron isipokuwa 4 oclock in the morning! hadi ze comedy waliirusha hii hawana lolote harembwi mtu kwa kombe lipi???
ReplyDelete