Ndugu mwanajumuiya,
Wawakilishi wa miji mbali mbali inayounda jumuiya yetu tutakutana siku ya jumamosi tarehe 20 machi katika Jiji la Tiruchchirappalli. Kikao chetu kitaanza saa tatu asubuhi na kuisha saa nane mchana.
Tunawakaribisha watanzania wote ambao wangependa kushiriki kikao hiki kutoa taarifa kwa katibu mkuu kuhusu ushiriki wao ili kufanya maandalizi yanayohitajika.
Katika kikao chetu tuntarajia kufanya mambo kadhaa kama ifuatavyo:
*Kupokea na kujadili taarifa ya hali ya jumuiya na wanajumuiya
*Kupokea na kujadili taarifa ya utendaji na ya fehda kwa kipindi cha miezi mitatu ya kwanza
*Kupokea ripoti ya mkutano mkuu wa mwaka 2009
*Kujadili mpangokazi wa mwaka 2010
*Kupokea na kujadili taarifa ya maandalizi ya sherehe ya kuwaaga wanajumuiya wahitimu
*Uzinduzi wa tovuti rasmi ya jumuiya
*Uteuzi wa mwenyekiti mpya wa jumuiya
*Kujadili mambo mengine yeyote yatakayoibuliwa na wajumbe wa kikao

Tubakaribisha mawazo yenu tuapoanza kikao hiki muhimu.
Maoni yawasilishwe kupitia kwa wawakilishi wa miji husika
au kwa katibu mkuu kupitia +919840543985.
Imetolewa na;
Moses L. Jilugu,
Mwenyekiti,
Imetolewa na;
Moses L. Jilugu,
Mwenyekiti,
THE TANZANIAN COMMUNITY IN TAMIL NADU
watanzania.tamilnadu@yahoo.com
+919940158696
33 A Kamarajar Street,
B.V. Nagar,
Nangallur,
Chennai - 116
watanzania.tamilnadu@yahoo.com
+919940158696
33 A Kamarajar Street,
B.V. Nagar,
Nangallur,
Chennai - 116
hongereni ndugu...
ReplyDeletekazi yenu inatia moyo ,wenzenu wa Mysore wanazidi kuvurunda wametangaziwa hawana jumuiya na wao wamekubali...aibu hii kwa wanafunzi wa elimu ya juu na walio nje ya nchi kuwa wajinga kiasi hiki.