Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Hahahaha, Comical Al-sahaf

    Waaje wajifariji tu maana mziki wa Barca sijui kama watauweza. Mziki mnene ule. Hebu tuwekee ile video ya facebook jinsi mlivyofundishwa rigwaride 1992 nyumbani kwenyu.

    ReplyDelete
  2. Huyu alikuwa Waziri wa Habari wa Irak wakati wa uvamizi wa Marekani mwaka 2003. Anaitwa Mohamed al Said al Sabah. Hakuwa kwenye noma za Bush, hivyo walimwacha akaanza zake.

    ReplyDelete
  3. MSILIE: Ukisikiliza wimbo huu wa Prof.Jay (the heavy Weight- Mc) utakutana na yote ambayo yanatokea sasa si tu katika serikali yetu bali pia katika sehemu ya maisha yetu ya kila siku. Sasa kijana kama Mnyika anapotaka kuchukua hatua, waosha vinywa na wasiofikiria wanaibuka na kuleta hoja za ajabu halafu huyo ndo anayetegemewa kwa ushauri nyumbani kwao (Kuku hauzwi mpaka aseme yeye). Shame upon you!
    Big up Prof.Jay, na wasanii wengine wafuate mfano wako sio kila siku nyimbo za mapenzi tu, mapenzi na njaa tumboni wapi na wapi?
    Kwa wimbo huo ambao hamjausikia, tembelea.
    http://www.bongocelebrity.com/2010/03/06/msilie-prof-jay-ft-chid-benz/
    Mfuatiliaji

    ReplyDelete
  4. Ankal hii post ni kali kuliko zoooote! Arsenal ndivyo wanavyojidanganya, na hiyo ni kwa miaka 6 sasa hakuna kitu.

    ReplyDelete
  5. I am an Arsenal fanatic and I like this post...Mzee wa Propaganda huyu...we need people like Al-Sahaf to keep the spirits high...not only in football but even in other daily dealings....he was such a propagandist!!!

    ReplyDelete
  6. AL-SAHAF SIO AL-SABAH KAKA

    ReplyDelete
  7. Huyu jamaa ni kiboko,nadhani ni msambaa huyu!

    ReplyDelete
  8. Dah, Mpiga box, nimefurahi sana kaka kumuona Al-sahfu. Nampenda sana ankal.

    japo aloiweka anatupa ujumbe wana arsenal. Huyu jamaa nilikuwa namhusudu sana.

    ReplyDelete
  9. Hahaa! hii post ni kali sana. Lakini ni ujumbe tosha kuwa Arsenal ni bingwa mwaka huu EPL. wanaobisha bila shaka hawajasikiliza maoni ya Keane jana alipohojiwa na SKY. Chelsea wasahau kuchukua ubingwa. Hizi ni mbio za Gunners and ManU. Chelsea wamepoteza full back zote za kutegemewa plus Esien. Terry is exposed from now on. watu watakatisha kama wanaenda kwa bibi.
    Go Gunners!!

    ReplyDelete
  10. Sahaf....dah upo kaka?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...