Mshindi wa kwanza katika draw ya NITASOMA
iliyofanyika leo asubuhi ametoka chuo kikuu cha Tumaini Iringa.
Witness Lucas mwanafunzi wa mwaka wa pili faculty of Education ameshinda Simu ya mkononi ambayo ni zawadi ya kila wiki ijulikanayo kama
iliyofanyika leo asubuhi ametoka chuo kikuu cha Tumaini Iringa.
Witness Lucas mwanafunzi wa mwaka wa pili faculty of Education ameshinda Simu ya mkononi ambayo ni zawadi ya kila wiki ijulikanayo kama
NITASOMA MOBILE.
Wanafunzi wana shauriwa kushiriki ili kujishindia zawadi hizo mbalimbali zitakazo wasaidia kujiendeleza kielimu.
Wanafunzi wana shauriwa kushiriki ili kujishindia zawadi hizo mbalimbali zitakazo wasaidia kujiendeleza kielimu.
Kupaitia ujumbe NITASOMA kwenda 15767
Kwa maelezo ya kina nenda:
www.nitasoma.com
www.nitasoma.com
ELIMU KWANZA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...