Good Day
GET BACK TO ME IMMEDIATELY ,
This brief introductory letter may come to you as a big surprise, but I believe it is only a day that people meet and become great friends and business partners.
I am Hon.Dr. Gertrude I. Mongella, currently Head of Corporate affairs with a reputable bank here in Burkina Faso , West Africa . And would like to enter into a confidential business deal with you upon your acceptance to co-operate with me I will let you know the details.

Thanking you in advance and
waiting for your urgent reply.
Regards,
Hon. Dr. Gertrude I. Mongella,

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Bro Michu hiyo ya Mongella nini? hiyo cha mtoto! Mie nilipokea ya Harrison Mwakyembe nikaipuuzia, sasa nimepokea kabisa toka kwa H.E. Jacob Zuma, inaelekea nitapata mingo kubwa zaidi yako.
    nhe he he, LOL, just jocking. Please people don't try responding to these kinds of 'easy money' scams.

    ReplyDelete
  2. HIVI VITU NI VYA SIKU NYINGI TOKA INTERNET IANZE I VIGENI TENA, PENGINE BONGO KWA VILE INTERNET NDO KWANZA ANAANZA KUSAMBAA KWA KILA MTU SIKU HIZI ZA KARIBUNI, SI JAMBO JIPYA KWA WENZETU WALUKUWA NA INTERNET MIAKA 30 ILIYOPITA

    ReplyDelete
  3. hiyo mbona ndogo,
    mi nilipata toka kwa mjukuu wa Madiba anadai makaburu wanataka kulipia dhuluma ya kumfunga Mzee Madiba kwa miaka yote hiyo , ila mzee Madiba kakataa, sasa makaburu kwa vile wanajisikia vibaya wamemuendea yeye na kumuomba azichukue ili kufuta dhambi zao na amekubali sasa kwa kuwa dili ni ya siri ili mzee Madiba asishtuke inabidi apate mtu baki kama mimi ili pesa iwekwe kwenye acct yangu alafu na mie ntakatiwa mshiko wangu wa nguvu sana!
    ukishangaa ya Musa!

    ReplyDelete
  4. Mimi nilipata e-mail moja kupitia anwani yangu ya hotmail. Jamaa alijatambulisha kuwa yeye ni mtoto wa marehemu rais tubman aliyepinduliwa na kuuwawa na sajenti samuel doe 1980. Alisema anahitaji nideposit dollar 400 katika account alyonipa ili a-process nyaraka za benki zitakazomwezesha kupata US dollars milioni kumi. Cha ajabu ni kuwa alisema anasoma chuo kikuu na ana umri wa miaka 21 (yes, tweny-one!). Nilimjibu kuwa haiwezekani kuwa alizaliwa miaka tisa baada ya baba yake kufa, unless alikuwa ni frozen sperm iliyokaa katika friji kwa miaka yote hiyo. Of course, kakunijibu, lakini i had a good laugh.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...