Mwenyekiti wa baraza la ushauri la watumiaji wa huduma zanishati na maji EWURA CCC Mhandisi Prof. Jamidu Katima akizungumza nawaandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali kwenye maonyesho ya wikiya maji yanayofanyika kwenye kijiji cha Mwendapole Kibaha Mkoani Pwani wakati alipozungumzania changamoto mbalimbali zinazolikabili baraza hilo katika juhudi zake za kuhakikisha watumiaji wa huduma hizo wanapata huduma bora.maadhimisho hayo mwaka huu yanafanyika kitaifa mkoani Pwani huku kauli mbiu ikiwa ni "Maji safi na salama kwa afyabora".

maonesho kwenye mabanda


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...