Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro,Steven Kazidi akimvisha kofia ya ukamanda wa UVCCM Aggrey Marealle muda mfupi baada ya kusimikwa katika sherehe ambazo zilifanyika nje ya uwanja wa soko la pasua,Marealle pia ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa.
Kamanda mpya wa UVCCM Manispaa ya Moshi,Aggrey Marealle akimvisha kofia ya ukamanda wa UVCCM kata ya Majengo diwani wa kata hiyo,Christopher Lyimo
Kamanda mpya wa UVCCM Manispaa ya Moshi,Aggrey Marealle akimvisha kofia ya ukamanda wa UVCCM kata ya Karanga ,Thomas Mangia ambaye pia ni diwani wa kata hiyo.
Kamanda mpya wa UVCCM Manispaa ya Moshi,Aggrey Marealle akizungumza na wafuasi wa CCM(hawapo pichani) muda mfupi baada ya kusimikwa kuwa kamanda mpya wa umoja huo Manispaa ya moshi.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Siasa inalipa.....natamani ningekuwa Bongo sasa hivi ningejitosa ubunge jimbo la Moshi, infakt aliitaji uwe na pesa,chama kinatoa kulikomboa

    ReplyDelete
  2. Comment za mwandishi zimenichekesha pale alipotukumbusha watu wanaohutubiwa hawapo pichani;);)

    ReplyDelete
  3. ankal mimi napenda kuuliza mbona hao makamanda wa vijana ni wazee, kwani hakuna wanachama vijana wakaweza kuteuliwa kuwa makamanda wa vijana wenzao. Hao wazee wakagombee ubunge.

    ReplyDelete
  4. yani angel wadhungu wanasema I TOTALLY AGREE WITH YOU, mbona wazee hivyo au kamusi yangu imekosewa maana hamna sura hata moja ya kijana hapo. kwakweli politics is a dirty game tusubiri tu october sijui tutaletewa changa gani la macho

    ReplyDelete
  5. CCM, one of the thriving industry in Tanzania, the BEST IN AFRICA, once you in, UMEULA, what a waste of space talent and resources,

    Chama kina kila aina ya mbinu, ya kuwafanya watu wote KUAMINI KWAMBA BILA YA CCM, na KUWA NA DAMU YA CCM, NOTHING WILL BE GOING RIGHT EITHER INDIVIDUALLY OR COLLECTIVELY AS A COUNTRY.

    IF WHAT AM SAYING ISN'T TRUE, THEN I WISH AN INDIVIDUAL OR GROUP OF INFLUENCE WITHING GOVERMENT APPARATUS, SHOULD COME FOWARD AND DECLARE THAT PUBLICLY, THEY ARE NOT CCM AND THEY HOLD HIGH OFFICE ON ANY GOVERNMENT SECTOR, INSTITUTE EVEN, DAKTARI MRATIBU WA HOSPITAL, AND I WILL GO FAR BY SAYING EVEN IN PRIVATE SECTORS AND INDUSTRIES.

    it is such a political TREASON, by CCM, hijacking our life our breath, our conscious! you name it!, you want to go high, just pretend to be among them, then you will be guarantee success!

    ReplyDelete
  6. ccm nambari one ccm oye chama cha mapinduzi ccm namba one

    ReplyDelete
  7. he he heee wakwetuu naona kivazi kimekupendeza vilivyo safi sanaaaa hongera zako
    manka wa canada

    ReplyDelete
  8. msituletee nanihii hapa agrey ana uzee gani? labda hao wengine kwani nyinyi vijana mlikuwa wapi wakati anagombea hiyo nafasi?? mngeenda kuchuana naye basi agrey bado ni kijana safii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...