Bw. Alex Ngasa na Bi. Johari Boniface, baada ya kumeremeta.
NOKIA waliandaa shindano la NOKIA SHARE WEDDING COMPETITION ambapo wachumba Tanzania nzima walitakiwa kutuma picha zao pamoja na love story ya jinsi walivyokutana, ili ziwekwe kwenye mtandao na kushindanishwa kwa kupigiwa kura na wananchi kwa muda wa takriban wiki nane, ambapo couple itakayo shinda NOKIA itawazadia mnuso wenye thamani ya milioni 25, kwa sharti la kwamba wawe wamefunga ndoa ya kihalali.
NOKIA waliandaa shindano la NOKIA SHARE WEDDING COMPETITION ambapo wachumba Tanzania nzima walitakiwa kutuma picha zao pamoja na love story ya jinsi walivyokutana, ili ziwekwe kwenye mtandao na kushindanishwa kwa kupigiwa kura na wananchi kwa muda wa takriban wiki nane, ambapo couple itakayo shinda NOKIA itawazadia mnuso wenye thamani ya milioni 25, kwa sharti la kwamba wawe wamefunga ndoa ya kihalali.
Waliobuka washindi wa NOKIA SHARE WEDDING COMPETITION ni Bw. Alex Ngasa na Bi. Johari Boniface wa Dar es salaam, ambao wamezawadiwa mnuso huo wa nguvu iliofanyika Golden Tulip Hotel jijini Dar.
GLAMOROUS Event Planners ndio walichaguliwa rasmi na NOKIA kuandaa THE NOKIA SHARE WEDDING EVENT.
Glamorous caters for any Organizational,
Personal, Leisure and Culture Events.
For more info please visit
Email: info@glamorous.co.tz
Tel: +255 22 2772230/0784 410254
MSAADA TUTUNI, HII HAIHUSIANI NA HIZI PICHA ZILIZOTUNDIKWA, ninaswali linanitatiza. Hivi ugonjwa unaoitwa "Hypertensis" kwa kiswahili unaitwaje? aksateni wanajamii na mzeee wa maparachichi
ReplyDeleteMdau "Hypertensis" kwa kiswahili inaitwa "Haitupatisisi" Huu ni ugonjwa unaowapata wazungu tu.
ReplyDeletemimi naomba anauani ya hayo Gramorous event planners
ReplyDeleteWachawi wa Tanzania, wanaongelea magonjwa wakati wa jambo jema la furaha na baraka.
ReplyDeleteMshindwe kwa jina la Yesu. Dini pinzani
Hahahahahaha mie mbavu zangu kuna watu wanaingia humu hawajui hata umuhimu mwenzio kauliza swali la maana ww unajibu utani eti "haitupatisisi" kweli kuna watu hamnazo mwenye kujua pls msaidieni mdau ankal picha umezibania sana mpe shamimu atutolee zote cos ni fani yake otherwise big up
ReplyDeletejamani Vumilia aka mama nancy uko wapi? miss u sana!kaka michuzi naomba anuani ya glamorous event planners please.
ReplyDeletejamani ankal unabana saana meseji sasa unatoa picha ya nini ka cinema si ili tutoe komenti? na kila mtu ana mtazamo wake alimradi mtu hatukani tunaomba uwanja uwe mpana yani hii blogu siku hizi imekuwa kimabavumabavu sana ankal acha hizo unatukera sana, tukirudi kwa maharusi kweli walipendeza saana ila bibi arusi mkorogo aachae awe natural mbona ana mvuto tuu
ReplyDeleteweee annon sio mkorogo ni mapouda yanaitwa "foundation"
ReplyDeletesijaelewa hii sentensi hapo juu "kwa sharti la kwamba wawe wamefunga ndoa ya kihalali"
GLAMOROUS EVENT PLANNERS CONTACTS:
ReplyDeleteEmail: info@glamorous.co.tz
Tel: +255 22 2772230/0784 410254
Web: www.glamorous.co.tz
Nancy Sayore na Vumilia Kaaya, mnatisha kama njaa wanangu.. keep up the good work
ReplyDeletemmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!i harusi ilikua ya ukweee jaman.
ReplyDelete