GLOBU YA JAMII INAFURAHA KUWAKUMBUSHA WADAU WANAOTAKA KUONA HABARI NA TASWIRA ZA AWALI AMBAZO HAZIONEKANI HAPA KATIKA UKURASA HUU WA MBELE KUTOKANA NA WINGI WA HABARI NA TASWIRA, WABOFYE HAPO CHINI NA KUFUATA MAELEKEZO. LIBENEKE OYE!
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mi ningeomba ankal utuwekee chini "Older post" kama blog nyingi nyingine, hii inakuwa rahisi kidogo maana ukichelewa kidogo ukapitwa inakuwa tabu sana.

    Ni Ombi tu.

    ReplyDelete
  2. Mimi sioni tatizo lolote...

    Mkuu wa libeneke, hebu naomba uiongeze matondo.blogspot.com katika orodha yako ya blogu mbalimbali.

    Kuna nyimbo za kikabila juu upande wa kulia Wasukuma na Wanyamwezi wachangamke.

    Hivi karibuni nitaweka nyimbo za Kichaga; na nyimbo za makabila mengine zitafuata.

    Kila la heri na kazi njema

    ReplyDelete
  3. annon #1 nakuunga mikono na miguu yote

    kweli mzee wa libeneke ni shida tupu kupata post za nyuma mf natafuta "diaspora"kila nikibofya hola zinakuja zingine kabisaaa adi wakata tamaa

    weka iyo choice bwana ili ukibofya tu zinakuja zote za heading iyo wafanya kuchagua

    hatukai 24/7 umu so twapitwa vingi

    ReplyDelete
  4. Hii ya kutafuta kwa mwezi bado ni tatizo, habari nyingine huwezi kuzipata. Mi ningeshauri useti tuwe tunatafuta kwa wiki na sio kwa mwezi, hapo ndio utakuwa umetusaidia, otherwise uweke msururu mreefu wa mwezi mzima, mwezi ukiisha ndio unahamishia kwenye kumbukumbu, sio sasa mwezi hata haujaisha habari ushapeleka Maktaba.

    Ni hayo tu.

    MKUTUBI.

    ReplyDelete
  5. NI KWELI MICHUZI HABARI ZA MWEZI MARCH KWA MFANO HAZIPATIKANI ZOTE UNDER KUMBUKUMBU. HEBU ZIPANGE ON WEEKLY BASIS KAMA ULIVYOFANYA JUZI
    JUZI, SIJUI KWA NINI UMEAACHA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...