Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mhashamu Liberatus Libena aki ongoza ibada ya maadhimisho ya Alhamis Kuu jioni hii kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar.
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Liberatus Libena akiwaosha miguu waumini wa kanisa hilo wakati wa ibada ya maadhimisho ya Alhamis Kuu uliyofanyika kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar jioni hii. Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. KWENYE HII IBADA WATU FULANI FULANI HAPO WANGETOKA NDUKI KAMA KUPIMA UKIMWI MAANA WAKITOA VIATU NI KAMA CHOO KIMETAPISHWA.

    ReplyDelete
  2. Ankal.. hao hawaitwi Maaskofu Wakuu Wasaidizni Maaskofu Wasaidizi, hakuna cheo kama "Askofu Mkuu Msaidizi" kwenye Kanisa Katoliki. Mdau Safarini Ikwiriri, Rufiji.

    ReplyDelete
  3. huku ughaibuni kuna sakata zito la wakatoliki..la kuwabaka watoto wadogo wa kiume tangu miaka ya 60 sasa naomba uncle michu upelelezi upitishwe na huko kwetu ili tuone kama wazee wetu wa enzi zile walinusurika na hawa watu

    ReplyDelete
  4. Anti- PhariseesApril 02, 2010

    Naam kama Wamenno vile,

    Yesu alituamuru tufanye hivi kwa ukumbusho wake.

    ReplyDelete
  5. Waongo watupu wana wadanganya watu waishi kwa matumaini wao wenyewe wana jiendeleza na mishaara wanayo ipata.kwanza kabisa wangekua wanatangaza kila mwezi wanapata mkisi gani na kuwasaidia waumini wao ,watu wanakufa njaa wao wanasema eti utashiba kwa damu ya yesu

    mka wadanganye hawo hawo wasio wajua mm kwangu ampati sadaka Paka shume,

    ReplyDelete
  6. @Anony Fri Apr 02, 06:13:00 PM namshukuru Michuzi kutoa koments za wazima na vichaa.
    Sijaona point hapo ila ni kama umetoka kwenye pombe za kienyeji kisha unatoa koment
    Nani kakuomba sadaka?
    Wenye njaa wewe unawasaidiaje?
    Wewe ndiye paka shume ama nani?

    Nenda kwa dakta uone watz wrong na brain kaka. Might b a lil damage

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...