sehemu kibao za starehe siku hizi utakuta ATM za kondomu katika harakati za kupiga vita maradhi ya ngoni ikiwemo ukimwi. Swali je, zinatumika ipaswavyo?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. kondomu hazipigi vita maradhi yeyote ya ngono. kondomu zinapunguza uwezekano (reduce the chance) wa kupata maradhi ya ngono.

    Watu wanakuwa confused wanapoelimisha na kuelimishwa juu ya suali hili. kuvaa kondomu hakuzuii asili mia (100%)kupata maradhi ya ngono au kupata mimba, ndio maana katika nchi nyengine watengenezaji wa kondomu hutakiwa kisheria waweke wazi kuwa sio 100% guarantee.

    Tuangalie virusi wa ukimwi ni wadogo mno, infact wanaweza kupenya katika tundu za raba ya kondomu kama kondomu ikiwa expanded. sasa kwa wale waliokirimiwa na mola kuwa na michi ya kweli kazi ipo.

    Pia kuna issue ya kondomu kupasuka wakati wa tendo.

    Kwa hivyo kama kweli mtu anataka kuepuka maradhi ya ngono basi ni kuoa na kubaki na partner wako huyo huyo, na nyote kuwa wakweli na kutokuwa na wapenzi wa pembeni. ukigundua kuwa partner wako ana macho ya nje unamtema. hakuna kusamehe.

    ReplyDelete
  2. kondomu hazipigi vita maradhi yeyote ya ngono. kondomu zinapunguza uwezekano (reduce the chance) wa kupata maradhi ya ngono.

    Watu wanakuwa confused wanapoelimisha na kuelimishwa juu ya suali hili. kuvaa kondomu hakuzuii asili mia (100%)kupata maradhi ya ngono au kupata mimba, ndio maana katika nchi nyengine watengenezaji wa kondomu hutakiwa kisheria waweke wazi kuwa sio 100% guarantee.

    Tuangalie virusi wa ukimwi ni wadogo mno, infact wanaweza kupenya katika tundu za raba ya kondomu kama kondomu ikiwa expanded. sasa kwa wale waliokirimiwa na mola kuwa na michi ya kweli kazi ipo.

    Pia kuna issue ya kondomu kupasuka wakati wa tendo.

    Kwa hivyo kama kweli mtu anataka kuepuka maradhi ya ngono basi ni kuoa na kubaki na partner wako huyo huyo, na nyote kuwa wakweli na kutokuwa na wapenzi wa pembeni. ukigundua kuwa partner wako ana macho ya nje unamtema. hakuna kusamehe.

    ReplyDelete
  3. Kama mashine inatumia umeme kununua/kupata kondomu, je kwa umeme wa tanesco si kazi sasa, maana gemu linaweza likawa linaanza wakati hakuna umeme wala kondomu. So pia hata utumiaji unatokana na uwepo wa umeme(Kama zinatumia umeme).

    ReplyDelete
  4. My Two CentsApril 18, 2010

    Anonymous was kwanza:

    Tatizo ndio hilo, watu hawawezi kutulia na mtu mmoja hata wakiwa wamefunga ndoa. Ndio maana it is better to have condoms around maanake mtu akipata hamu ya kutembea nje ya ndoa they will do it whether or not condoms exist. Sasa kupunguza kusambaza magonjwa ya zinaa na mimba za hovyo ni bora watumie condom.
    Unavyosema kuwa condom sio 100% ni kweli. Vijidudu haviwezi kupenya lakini inaweza kupasuka au ikasambazwa kwa njia nyingine kama oral sex.
    Ni bora kuwa na 99% safety against STDs and unplanned pregnancy kuliko kutokutumia condom kabisa ambapo hapo ndio 100% SURE UTAPATA UKIMWI KAMA UTATEMBEA NA MTU MWENYE UKIMWI BILA CONDOM.

    That is just the reality. People have sex whether or not they are married to each other, therefore to stop the spread of AIDS one must at least encourage the use of condoms. Look at the statistics of developed countries. People have multiple sexual partners throughout their lives but condom use has been normalized. It is almost expected that anyone that is sexually active (male or female) will have a condom available for use. The result is less HIV/AIDS spread. Sasa angalia nchi ambazo haziongelei mambo ya condom or still have stigma towards it.
    Research shows that the top 10 countries with the most AIDS prevalence are in Africa. Think about that before you criticize condoms.
    Have a good day!

    ReplyDelete
  5. mdau wa Sun Apr 18, 06:31:00 PM point yako ya statistic ya utumiaji wa kondomu kidogo nitakuuliza hili.

    kama miaka minne au mitano nyuma moja katika mashirika ya afya duniani walitowa statistics zao na ilionyesha kuwa idadi ya waafrika wanaotumia kondomu imeongezeka sana, maradhi ya STD yamepungua, mimba kwa vijana wadogo zimepungua ila idadi ya wanaoambukizwa aids imezidi.

    Sasa wewe hapo niambie ni kwa nini? ikiwa waafrika tumekubali kutumia kondomu kwa nini waathirika bado wanaendelea kuzidi?

    Hiii ndio ilikuwa point yangu, kondomu haipigi vita au kuzuia ukimwi, unapunguza tu chance ya kuambukizwa, tena una chance kubwa ya kupata ukimwi kwa kuvaa kondomu kuliko maradhi mengine ya ngono (sexual transmited deseases)

    ReplyDelete
  6. @Anonymous wa Sun Apr 18 11:07:00pm.

    Kuongezeka kwa idadi ya watu walioathirika sio kwamba condom zinatumika ama hazitumiki (its a good thing kama zinatumika). Ila ni kwasababu, maisha ya watu walioathirika yanaongezeka (death rate inapungua to some extent kwa ajili ya tiba wanazopewa) kwahiyo idadi ya watu walioathirika inaoneka inaongezeka..Thus, such statistics!! Kuna factor zingine ni kweli.. ila hili ni moja wapo.
    Nawatakia Siku njema!!!

    ReplyDelete
  7. bongo kila mtu ana ukimwi. watu maarufu ndio usiseme. watoto wadogo ndio usiguse. tena toka wamepewa dawa za kunenepa ndio kabisaaaa wanaueneza vizuri. maana zamani ilikuwa unaweza kumtambua mtu kwa hali yake . sasa hivi wanakufa na vitambi na mashepu yao. sasa jamani kama hizi condom zingekuwa zinatumika vizuri sidhani kasi ingekuwa kubwa kiasi hiki. maana unaambiwa kati ya watu 10 , 7 wana ukimwi. whats goin on here jamaniiiiii.. watu wanatakiwa kuwa faithfully na kuacha infidelity. ngono

    ReplyDelete
  8. duh nimeiangalia hilo tangazo na nimeona ujanja uliotumika kwa ule wa design za FCUK, hapo kwenye picha wameweka SALAMA 3OMBA (Hiyo tatu au three imewekwa hapo kwa maana nyengine) ha ha ha hongera kwa aliebuni hiyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...