Home
Unlabelled
AY WINS BEST EAST AFRICAN ARTISTS 2010 IN KENYA'S TENEEZ AWARDS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
OT: Mnaoficha vidola mia vyenu kwenye magodoro mjiandae..wenye hela zao wameamua kuzibadili...Mpya zinakuja soon kwahiyo wooote vitoeni hivyo vidola 100 vyenu muvihifadhi hata kwa dola 50 50 manake wakishatoa hizo mpya wanawapa muda wa miezi mitatu tu kuzibadili halafu zinakua hazitumiki tena..........
ReplyDeletekijana manager wako ana jua marketing strategies. !!! wakina Afande sele hina bidi badala ya kulia lia kila siku wakaae chini na kuangalia tatizo lao ni lipi na wapambane kivipi. mtalia sana sijuhi kaja juzi anapewa mwana hip hop bora sijuhi nini .....
ReplyDeletehata ulaya marekani ndo hivyo hivyo tu !! Illuminati rules mtalia sana hii ndo hali jalisi. mwee mwee mwee
Habari ndio hiyo! kijana anajua pa kukanyaga haendi hovyo! manager wake na crew nzima nyuma yake ina akili. AY sasa hivi anakula na Vodacom tanzania, mnategemea nini? Hahahahaha HA HA HABARI NDIO HIYO!!!!
ReplyDeletedaaaah,nimekubali kuwa manager wa Ay na crew ni kiboko,nasikia Hammy B ndio manager wa ukweli kabisa wengine kama fela kushnei,nafurahi kuona ay anafika mbali sana,big up sana Ay na crew yako
ReplyDeleteEbwana kweli toka ay aanze kazi na Hammy amekua anashine kinoma,
ReplyDeleteMbona nimesikia AY hANA mENEJA ISIPOKuwa yeye mwenyewE NDIO Meneja WA kamPUNI yake ya UNITY enTERTAINMENT,amBAPO anawa menej wasanii kama Shaa na wengine.na pia safari zake na kila kitu anapanga MWenyewe.
ReplyDeleteMSANII.