
Assalaam a'laykum,
Kwa unyenyekevu kabisa,
tungependa kuwajulisha wote wanaotembelea mtandao wetu kuwa, kuanzia sasa tumia 'web address' hii:
badala ya
'Web address' ya www.zenjydarsalama.co.uk itakuwepo kwa muda wa miezi michache ijayo, lakini tungeshauri tuanze kutumia www.salamatrust.com ili tupate uzoefu nayo, inshallah.
Mabadiliko haya yametokea baada ya uamuzi wa kubadili jina kuwa Salama Charitable Trust badala ya Zenjydar Salama Trust.
Inshallah Khayr.
Wabillahi tawfeeq.
Inshallah Khayr.
Wabillahi tawfeeq.
Salama Trust
www.salamatrust.com
www.salamatrust.com
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...