Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Sijaona ya Loserfools hapo.

    ReplyDelete
  2. wewe ulieandika "trying to win the premiership 25 years remaining" na woote wenye mawazo kama yako na wanaokusuport au watakao kusuport you must be a traditional healers.. nyinyi ndio mnaowadanganya watu kwamba wakitumia .... watakuwa matajiri


    No Rooney No Win

    ReplyDelete
  3. Du, hii kali- 'washindwalala Fergie+team+diehards ManU fans' sie Chelsea tunakwenda mwendo ule ule kunyakua premier-league Cup

    Mdau
    Darajani Stamford Bridge

    ReplyDelete
  4. Ooh....poor Rio...and other roo-sers

    ReplyDelete
  5. Nyie Chelsea!! "USITUKANE MAMBA KABLA HUJAVUKA MTO"

    ReplyDelete
  6. kweli hapo RUUUNEY KWISHNEYI ANAOKOTA MAKOMBO JALALA. PICHA YA CHINI IMEKOSEWA KIDOGO ILITAKIWA ISOMEKE HIVI "25 DAYS REMAINING" JAMAA WA WENGA WALAMBE DUME. CHELSEA AKITELEZA TU TUNALAMBA DUME

    ReplyDelete
  7. I'm among those who called funs of Arsenal and i can't see this dilogue passed in front of me without putting my thought. I understand your point that 25 years remain for Arsenal to win PL.
    I think on this occasion Wenger is making it, crystal clear to all concerned that Arsenal will not sell - previous sell Hleb, Adebayor and Toure were not critical to long term future of the club, Hleb and Adebayor had unsettled influence while Toure's performance level dropped also they were also problem between him and Galas.
    The final point about players who have left the club and regretted the move is i think a valid point, it's well known that most of the established first team players' who left the club have confirmed this eg Anelka, Henry, Vieira, Ljungberg, Hleb and Capbell.
    Who knows Fabregas is going to be missed!!!!
    Yet tonight VS T.Spurs With no Arshavin, Fabregas, Gallas or Song we will be lacking spark going forward in all seriousness, I hope Arsenal can still sneak a 2-1 win, but it's going to be very tough. Last minute winner from Campbell.

    Mdau Nansio.

    ReplyDelete
  8. Michuzi, nadhani hiyo picha ya chini inafaa kuwa ni kipenzi chako liverpool, kwani kwa kumbukumbu tu hata haijulikani ni lii ilikuwa mara ya mwisho kuwa mabingwa na ligi ya uingereza.

    ReplyDelete
  9. hahahahaha!!!! As Arsenal Fan i love the presentation is full of creativity and great thinking embbeded with ICT presentation!!!Sure,That brilliant,however this great thinker with his/her ICT visual presentation, look mentally handicapped in the English Football for past 10 years !!!!! How could you ?"mock" the "beautiful Game" from AW and Trade mark of English Football from SAF ? the whole idea is being disrespectfully and unthoughtful denied history and achievements of two most decorated clubs in world of Football!!! SHAME ON YOU

    ReplyDelete
  10. Hapo panaitwa OLD TOILET.

    ReplyDelete
  11. Chelsea marefa wanawabeba. Hawataki Man U achukue tena maana wamedomineti Premiership inakua hakuna haja ya kuwa na timu zingine hapo. Ndio maana timu yoyote ikiifunga Man U ni kama mwisho wa ligi. We ll be back.
    Simba hafi ameenda kulala

    ReplyDelete
  12. Chelsea, Man U wote wazee wa mbeleko tu.

    ReplyDelete
  13. ADILI NA NDUGUZEApril 14, 2010

    Nyie Dimbwi la Maini vipi mwatukejeli wenzeni hivyo??Mtashangaa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...