huu ni utaalam mpya wa kuziba mashimozz ya barabarani kama ionekanavyo hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kumbe na sisi tunaweza ku export utaalam.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  2. Na bado,mtapanda hadi migomba kwenye lami

    ReplyDelete
  3. Baba mashimo yaliyopo jiji la dar
    sijawahi kuona katika matembezi yangu ughaibuni.katika kituo cha mafuta msimbazi baada ya kujaza mafuta ukitoka tuu unatumbukia kwenye mifereji iliyowekwa wazi kwa makusudi ili vijana wapate kazi.mifereji hiyo ambayo ilikuwa imezibwa ni njia kuu ya kuingia barabara ya msimbazi na iko wazi zaidi nya miezi miwili

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...