Mwenyekiti wa (KCDC) Kishapu community development center Dr John Shoka Akitoa hutuba fupi kuendelezea mradi mzima wa uendelezaji jimbo la Kishapu. Hii ilikuwa ni shughuli ya kuchangia jimbo hilo lililopo Shinyanga ilofanyika Oakland, California US, chini ya mwenyekiti mradi wa uendelezaji jimbo la Kishapu Dr John Shoka ambaye ni mzaliwa wa Kishapu wageni waalikwa
Mwenyeki wa jumuiya ya watanzania northern California pamoja na Mweka hazina wa jumuiya hiyo wakifurahia jambo wakati shughuli hiyo.
Kwa habari zaidi







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ankal, mwaka huu tutaona mengi, itabidi wananchi wa JMT waombe kila mwaka uwe wa uchaguzi otherwise umasikini hautaondoka kwa stahili hizi!!! Kinachonisikitisha ni kwamba wananchi wa Kishapu wamekuwa na matatizo muda mrefu sana na walihitaji misaada hii tangu siku nyingi. Ni lini wananchi wenye nia njema watajichanga kutoa misaada pasipo kusubiri mwaka wa uchaguzi? Nini kilikuwa kikwazo cha Dr. John kuorganize shughuli kama hii siku za nyuma kama yeye ni mwanaKishapu wa kweli?!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...