Mkurugenzi wa masoko wa TBL Bw. David Minja akionesha kwa mpiga picha wa Globu ya JAmii kilaji kipya cha kampuni hiyo ya bia ambacho leo kimeingia rasmi sokoni na kugombewa kama mpira wa kona. Bw. Minja anasema zawadi hiyo ya Pasaka kwa walaji wake ni yenye ubora wa juu kama ilivyo kesto mama ila kidoooogo imetengenezwa mahususi kwa 'maongezi marefu...'



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. HAYA JAMANI WALEVI WOTE KAZI KWENU ILA MSISAHAU MAENDELEO YA WATOTO SHULENI MAANA BAADA YA PASAKA WAMEZINDUA BIA ILI MPOTEZE NETWORK KICHWANI NA KUANZA MAISHA MAPYA NA LITE TENA

    ReplyDelete
  2. wafanyibiashara wangekuwa wanatalia manani kuingiza vifaa muhimu nchini ..kuliko vinyo,baada ya miaka ishiri na sisi tungekuwa kama wachina .lakini kwa mradi huu ilimradi fedha wacha ulevi sumu uingie nchini kwa wingi

    ReplyDelete
  3. umenipandisha mori, sijui nitarudi lini bongo!
    castle fan

    ReplyDelete
  4. Maongezi marefu maana yake nini? Ukinywa unasemasema hovyo na kuchosha wenzio? Au akili unakuwa bado uayao kwa sababu alchol content iko chini ya castle ya sasa?

    ReplyDelete
  5. Anon wa Fri Apr 02, 09:39:00 AM,

    Inaelekea wewe sio mdau wa haya mambo. Nakushauri uanze kunywa Redds kwanza halafu taratibu utaelewa maongezi marefu ni kitu gani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...