

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HAYA JAMANI WALEVI WOTE KAZI KWENU ILA MSISAHAU MAENDELEO YA WATOTO SHULENI MAANA BAADA YA PASAKA WAMEZINDUA BIA ILI MPOTEZE NETWORK KICHWANI NA KUANZA MAISHA MAPYA NA LITE TENA
ReplyDeletewafanyibiashara wangekuwa wanatalia manani kuingiza vifaa muhimu nchini ..kuliko vinyo,baada ya miaka ishiri na sisi tungekuwa kama wachina .lakini kwa mradi huu ilimradi fedha wacha ulevi sumu uingie nchini kwa wingi
ReplyDeleteumenipandisha mori, sijui nitarudi lini bongo!
ReplyDeletecastle fan
Maongezi marefu maana yake nini? Ukinywa unasemasema hovyo na kuchosha wenzio? Au akili unakuwa bado uayao kwa sababu alchol content iko chini ya castle ya sasa?
ReplyDeleteAnon wa Fri Apr 02, 09:39:00 AM,
ReplyDeleteInaelekea wewe sio mdau wa haya mambo. Nakushauri uanze kunywa Redds kwanza halafu taratibu utaelewa maongezi marefu ni kitu gani.