Bakhili mmoja alinunua mbuzi; akamwambia mpishi... "halloo, sikiliza ee... nusu ya nyama ipikie pilau na nusu nyingine itie kwenye friza, kichwa kichune tutafanya supu na miguu tutafanya mchuzi chuku chuku …ngozi yake usiitupe tutafaya msala. Utumbo tutaupika na ndizi, na mavi yake tutafanya mbolea ya miti, mifupa tutawauzia wenye mbwa..."
Mbuzi aliposikia akamuuliza Mheshimiwa....
Mbuzi aliposikia akamuuliza Mheshimiwa....
hutaki sauti yangu uweke as ring tone kwenye simu yako?
Have a nice DAY!
Mdau Umangani
I like this...very funny
ReplyDelete...na mavi yake tutafanya KICHURI..
ReplyDelete