ankal amekutana na upambaji huu kwenye mnuso
fulani hivi jijini dar, na akaupenda. wadau mnasemaje?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. IT LOOKS NICE BUT LOOKS MORE LIKE AN ALTAR IN THE CHURCH THAN UKUMBINI, HAYO NI YANGU TU. NA USIBANIE MICH KAMA KAWAIDA YAKO

    ReplyDelete
  2. kawaida saaana aongeze bidii bado sijavutiwa mitaa miigi kama nyota dizain church hapana bana manake siku hizi mh hadi tunaogopa kutuma koment punguza makali babaake

    ReplyDelete
  3. Too orderly!! MAYAVUTII

    ReplyDelete
  4. mzee wa libeneke,,unaongeza mamsapu tena????

    aisee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...