lori likikatisha juu ya daraja lililojengwa upya la mto ruvu. wadau ambao hamjapita kipande hii muda mrefu ni kwamba lile daraja la zamani sasa halipo na badala yake lipo hili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mbona linaonekana bado jembamba jamani?

    Yaani linashindwa hata na daraja la Mkapa brigde kule Rufiji! Khaah!

    Kuna namna hapo. Hosea hebu nusanusa hapo.

    ReplyDelete
  2. big up kawambwa.kazi yako tunaiona.unapiga kazi vibaya na sio mtu wa show off kama magufuli alivyokuwa hapo,barabara ni nyingi mno zilizo katika hatua za mwisho,pamoja na zilizomalizika.ni uhakika hadi 2015 JK atakuwa amezimaliza barabara kuu zote bongo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...