Home
Unlabelled
Dioniz Malinzi kamanda mpya wa vijana mkoani Kagera
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kwanini hiyo nafasi wasingepewa vijana wenyewe au munaangalia vigezo gani hela au
ReplyDeletekaka leo tunakuona kwenye picha ukiwa na mwili wako wa kawaida kabisa lakini ngoja mwaka upinduke utamshinda huyo mama hapo CCM mnavyojuwa kula nguvu zetu sijuwi lini tutapata haki sisi wanyonge
ReplyDeleteSimba oyeee
ReplyDeleteWe anonymous comment namba 2 hapo.Huyo Dioniz Malinzi ni Rais wa Gofu nchini na amedhamini gofu tangu mwaka 1994 mpaka leo kwa pesa yake ya mfukoni,Huyo hategemei pesa ya CCM ,bali ni mapenzi yake kwa nchi ndiyo maana amekubali hiyo nafasi ya ukamanda wa vijana .SIMBA OYEEEEEEEEEE
ReplyDeletehallooo huyo jamaa anaela ndefu sio kawaida!!Huwezi kutaja matajiri kumi hapa Tanzania bila kumtaja Malinzi, anamiliki Cargo stars na vitu vingine kibao!!Multi million dollar companies!!Napinga vikali kusema atakula ela mbuzi ya CCm kwasababu hao ccm wenyewe(JK) kampeni yake ilitumia vijisenti vya huyo bwana. Ishu ni kwanini awe kamanda wa CCM sasa hivi na sio huko nyuma???Analenga nini haswa??
ReplyDeleteNawasilisha.
Jamani msiwe kama vipofu.. Malinzi ni mfanya biashara.. na mara zote wafanya biashara hutaka faida.. kama kweli ni mapenzi kwa nchi yake si achangie ujenzi wa hospitali, shule, watoto walemavu nk, kwani lazima mpaka awe kamanda wa chama cha siasa.. tunajua wafanya biashara walipoingia katika siasa ndiyo waliharibu.. wao hutumia pesa tu..
ReplyDeleteHii yote inadhihirisha utata uliopo katika sera ya JK ya kutenganisha biashara na siasa. Ni ukweli uliowazi kwamba sera hii haitekelezeki.
ReplyDelete