kutokana na maombi ya wadau wengi globu ya jamii imemsaka dk. manyuki na kuongea naye ili kupata undani wake zaidi. bofya video hapo chini


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. he sounds a very honest man. Jamani halimashauri ya jiji mwacheni mtu wawatu afanye kazi. Kwani hachafui hali ya hewa bali anajenga taifa. Sasa hapo kama mtu anaona si vizuri aandike anaongeza nguvu za kiume. Mnataka aandike anaongeza nguvu ya jenereta- mafumbo ya nini. mimi nilidhani kibabu fulani kumbe is just a young man!

    ni hayo tu

    Mdau
    Tosamaganga

    ReplyDelete
  2. Ankal mbona unatubania matokeo ya Simba Sports club?

    ReplyDelete
  3. Ankal kuwa mzalendo Simba 2 Wazimbabwe 1,Japo Simba wameshinda tumechelewa kupata matokeo.

    ReplyDelete
  4. Mume Wangu, Mikanjuni TangaApril 05, 2010

    Sawa Dr. Manyuki, sasa tunakuomba umachie huyo Ankal arudi ulingoni maana ni muda mrefu tokea alipokuhoji mpaka sasa hatujamsikia tena au bado unamfanyia hiyo dawa ya kulinda boma??

    ReplyDelete
  5. Nashauri hao wajamaa waandike biashara zao kwa lugha nyepesi na zenye staha kwa jamii.... Taifa letu lina misingi ya heshima kwa wote. Aidha yaonyesha hao waheshimiwa wanania ya biashara zaidi kuliko wanavyojinadi kutoa huduma hata kama ni saidizi kwa baadhi ya wanajamii.
    Hata Muhimbili, kcmc na kwengineko wanatoa huduma hiyo Je nao waandikeje??

    ReplyDelete
  6. kuongeza nguvu Dollar 350 du Viagra pia haifiki bei hiyo jamaa bei zake ghali kweli kwlei

    ReplyDelete
  7. kweli kabisa huduma hiyo ni nzuri sana ya kurudisha heshima ya mji bwana. Lakini tafadhari ili uwasaidie watu kuwarudisdhia hiyo heshima hebu punguza hizo bei dr manyuki.jaribu kwendana na maisha ya mtanzania jamani mwezio jamani.Ukipunguza bei watu wenyeshida hiyo watakutafuta wengi na watajazana tu. na hapo utakuwa umeamsha waliokuwa wamelala wengi. Natumaini bwana Manyuki umepata hili ombi. Punguza Bei huduma yako ni nzuri Lakini Bei MMhh.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...