Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk. Emmanuel Nchimbi akipokea tunzo ya Global Leadership Award toka kwa Bw. Stephen Clouse huko Uingereza wiki hii. Tuzo hizo hutolewa na taasisi ya The Leadership Institution ya Marekani kwa kushirikiana na Bow Group pamoja na World Congress of Families kwa viongozi vijana wanaofanya vizuri nchini mwao
Mweka hazina wa CCM Taifa Bw. Amos Makala akipokea tunzo hiyo
Dk. Emmanuel Nchimbi na Bw. Amos Makala wakipongezana kwa kupata tunzo
Frank Eyembe wa Urban Pulse akimhoji Bw. Amos Makala baada ya kupokea tuzo
Dk. Emmanuel Nchimbi katika mahojiano na Frank Eeyembe
wa Urban Pulse (kati) na mdau Gardol
Picha na Urban Pulse




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hivi ni Tunzo au Tuzo?
    Hizo Tunzo/Tuzo ni kwa waTanzania tu au nchi zipi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...