Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim Mrs. Sabetha Mwambeja (kati) akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu maendeleo ya benki yake, ikiwa ni pamoja na kusambaza huduma mikoani na visiwani Zanzibar. Kulia ni Meneja Mkuu wa Benki hiyo Dinesh Arora. Kushoto ni Linda Chiza, Meneja Masoko Msaidizi na Uhusiano.
Tawi jipya la Exim bank Mbeya


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. I am proud of you auntie Sabe.... keep going. You have proved that women can lead businesses and be very successful.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...