Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Inafrika band, ahsanteni kwa kutuwakilisha vyema huko ulaya na pia kwa mirindimo ya Kitanzania yenye vionjo vya kiasili na mistari ya kufurahisha na kutafakarisha.

    Je kuna wadau wanafahamu majina ya hawa wanamuziki wa Inafrika? tudokoleeni wadau.

    Mdau
    Ughaibuni

    ReplyDelete
  2. Bab kubwa ,mmenikumbusha mbali ,enzi za 3-8.
    Well done sio machafchaf wanaokuja huku ,kupiga kelele na mike ,wanachoimba hakieleweki.

    ReplyDelete
  3. Bab kubwa ,mmenikumbusha mbali ,enzi za 3-8.
    Well done sio machafchaf wanaokuja huku ,kupiga kelele na
    mike ,wanachoimba hakieleweki.
    Yuko Ludala,Bizman na POMPIDOU,wengine nimewasahau

    ReplyDelete
  4. Inafrika Band,babkubwa kwa kazi yenu nzuri,Tour yenu ilikuwa kubwa na yenye mafanikio makubwa.
    FFU

    ReplyDelete
  5. i love these guys.
    achana na hoa wanaopiga zouk

    ReplyDelete
  6. Kweli hizi ndio nyimbo za kukuza miziki yetu...I like it...

    Hawa ndio waluwasupport 100% wapi tutanunua CD zao?

    ReplyDelete
  7. you have to be tanzanian to love this music. in kenya this music is a big no.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...