Home
Unlabelled
INAFRIKA BAND LIVE IN SPAIN MADRID
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Inafrika band, ahsanteni kwa kutuwakilisha vyema huko ulaya na pia kwa mirindimo ya Kitanzania yenye vionjo vya kiasili na mistari ya kufurahisha na kutafakarisha.
ReplyDeleteJe kuna wadau wanafahamu majina ya hawa wanamuziki wa Inafrika? tudokoleeni wadau.
Mdau
Ughaibuni
Bab kubwa ,mmenikumbusha mbali ,enzi za 3-8.
ReplyDeleteWell done sio machafchaf wanaokuja huku ,kupiga kelele na mike ,wanachoimba hakieleweki.
Bab kubwa ,mmenikumbusha mbali ,enzi za 3-8.
ReplyDeleteWell done sio machafchaf wanaokuja huku ,kupiga kelele na
mike ,wanachoimba hakieleweki.
Yuko Ludala,Bizman na POMPIDOU,wengine nimewasahau
Inafrika Band,babkubwa kwa kazi yenu nzuri,Tour yenu ilikuwa kubwa na yenye mafanikio makubwa.
ReplyDeleteFFU
i love these guys.
ReplyDeleteachana na hoa wanaopiga zouk
Kweli hizi ndio nyimbo za kukuza miziki yetu...I like it...
ReplyDeleteHawa ndio waluwasupport 100% wapi tutanunua CD zao?
you have to be tanzanian to love this music. in kenya this music is a big no.
ReplyDelete