(picha na freddy Maro)
Home
Unlabelled
JK aongoza kikao cha pamoja cha wajumbe wa Halmashauri kuu ya taifa,wenyeviti na makatibu wa CCM wilaya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ANKAL TAFADHALI TUPE UFAFANUZI MAANA WEWE NDIWE UNATUANDIKIA KUWA MWENYEKITI WA CCM NI RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE.
ReplyDeleteKUMBUKA WEWE HII NDIO KAZI YAKO SISI NI WADAU TU. NA HIVYO TUNATARAJIA UWE UNAZINGATIA MAADILI YA KAZI YAKO.
JE UNAPOANDIKA HIVYO UNAKOSEA? UNAJISAHAU? UNAKEBEHI? AU NI SAHIHI? NA KAMA NI SAHIHI EBU TUPATIE VIGEZO UNAVYOTUMIA?
KWA MAANA MIMI NAELEWA KUWA MWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA JAMHURI NI VYEO VIWILI TOFAUTI NA AMBAVYO VINAWEZA KUSHIKWA NA WATU TOFAUTI KAMA AMBAVYO HUTOKEA MARA BAADA YA UCHGUZI.
JK ANAPOKUWA KATIKA SHUGHULI ZA CHAMA NI MWENYEKITI WA CHAMA NA SI VINGINEVYO.
KAMA NAKOSEA NISAHIHISHE USIKAE KIMYA MAANA KAMA WEWE UNAKOSEA BASI UNAPOTOSHA UMMA AMBALO NI KOSA LA KIMAADILI YA KAZI.
NINAOMBA UFAFANUZI TAFADHALI
MZAWA
Mimi si ankal wala si mwana CCM ila kwa ninavyohisi huwa hakosei kwa sababu huyo ambae ni mwenyekiti pia ni rais so kwa kua ana vyeo vyote sio vibaya kumwita km anavyomwita jamani ni mtazamo tu huo eee.
ReplyDeleteVipi rasi karume hkuwepo hpo naona sioni suti za kaunda dah jamaa mwisho nampenda hpoa tu sio kila wakati mavazi ya chma.
akivaa gwanda la CCM ni Mwenyekiti wa CCM, akivaa suti ya ulaya au ya bongo pamoja na kuwa katika shughuli za Chama, basi ni Mwenyekiti wa CCM Rais JK.
ReplyDeleteHiyo inaweza kueleza kwa nini Mhe Karume (ambaye ninampa zangu tano) anang'ang'ania suti yake ya kibongo (kaunda) hata akiwa katika shughuli za chama - maana anatambua na kutanguliza urais wake kwamba anao muda wote.
http://video.google.com/videoplay?docid=4540134202583442015#docid=-8676643899624897379
ReplyDeleteJamani naumia sana mbavu zangu, hivi kwani uanachama wa chama cha siasa ni uniform (sare za kuvaa) au itikadi za kujenga jamii tunamoishi?
ReplyDeleteBado tuko nyuma mno ndo maana tunavalisha magwanda ya sare hata waleo nje ya nchi kana kwamba tunashabikia timu ya mpira ya Liverpool. Hela za kununulia hizo sare tusengezitumia kutia vifusi mashimo barabarani ndo ingekuwa itikadi endelevu?