HUDUMA WAKATI WA EASTER
HOLIDAY NA WEEKEND NYINGINE:

Samaki Fresh wa kuchoma -
Ijumaa,Jumamosi ,Jumapili na Jumatatu ya pasaka
Vyakula bahari vingine fresh (Ngisi,Pweza) on request
Kuku wa kienyeji wa kuchoma
Vinywaji vikali & Vinywaji baridi
Jiko la kujichomea nyama - on request
Vyumba safi na tulivu vya kulala
Mahali tulivu pa kumpumzikia
Ufukwe tulivu wa kupumzika na kuogelea

Tupo umbali wa kilomita 48 kutoka kigamboni,
ndani ya YaleYale PUNA
Wote karibuni Sana...................
Kwa Maelezo zaidi wasiliana na Wazee wa Pachikonjo:0719077707 /0754502757 / 0716732400
email:pachikonjo@gmail.com
website:bado kwenye hatua za mwisho za ujenzi......
mandhari murua
utulivu wa hali ya juu wajiona nyumbani mbali na nyumbani
kijiweni

NB: PACHIKONJO NI ASILI YA JINA NI KUSINI MWA TANZANIA
MAANA HALISI NI KIOTA CHA KUHAMIA NDEGE KULE MASHAMBANI....


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Safi sana. Jina limeniacha hoi...."PAKI CHONJO" Tutawatembelea tukitoka UKerewe.

    ReplyDelete
  2. aisee panaonekana patulivu hapo...tupeni basi contacts si mnajuwa mambo ya ugenini...halfu ulinzi upoo????

    ReplyDelete
  3. Ushaambiwa PAKI CHONJO unauliza ulinzi tena...Paki Chonjo maana yake park at your own risk..ndio maana ya chonjo. Paki mahala ambapo utaliona gari lako, ukilemaa hulikuti. Miye ndio nilivyoelewa jamani, labda wenyewe wafafanue.

    Mpendazoa

    ReplyDelete
  4. MMMH NIFANYE NIRUDI KWA BI MKUBWA SASA KUKAA UGENINI SANA BWANA UNAKUWA MSHAMBA NA HATA RAHA ZENYEWE HULI KUDADEKI

    ReplyDelete
  5. Mandhari safi lakini jina lina tatizo, biashara lazima iwe na jina linaloipa biashara heshima fulani, ukisema pakichonjo unapunguza hadhi ya resort.

    Nitakuja kuwatembelea.

    (US Blogger)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...