HOLIDAY NA WEEKEND NYINGINE:
Samaki Fresh wa kuchoma -
Ijumaa,Jumamosi ,Jumapili na Jumatatu ya pasaka
Vyakula bahari vingine fresh (Ngisi,Pweza) on request
Kuku wa kienyeji wa kuchoma
Vinywaji vikali & Vinywaji baridi
Jiko la kujichomea nyama - on request
Vyumba safi na tulivu vya kulala
Mahali tulivu pa kumpumzikia
Ufukwe tulivu wa kupumzika na kuogelea
Tupo umbali wa kilomita 48 kutoka kigamboni,
Vyakula bahari vingine fresh (Ngisi,Pweza) on request
Kuku wa kienyeji wa kuchoma
Vinywaji vikali & Vinywaji baridi
Jiko la kujichomea nyama - on request
Vyumba safi na tulivu vya kulala
Mahali tulivu pa kumpumzikia
Ufukwe tulivu wa kupumzika na kuogelea
Tupo umbali wa kilomita 48 kutoka kigamboni,
ndani ya YaleYale PUNA
Wote karibuni Sana...................
Kwa Maelezo zaidi wasiliana na Wazee wa Pachikonjo:0719077707 /0754502757 / 0716732400
email:pachikonjo@gmail.com
website:bado kwenye hatua za mwisho za ujenzi......
Wote karibuni Sana...................
Kwa Maelezo zaidi wasiliana na Wazee wa Pachikonjo:0719077707 /0754502757 / 0716732400
email:pachikonjo@gmail.com
website:bado kwenye hatua za mwisho za ujenzi......
Safi sana. Jina limeniacha hoi...."PAKI CHONJO" Tutawatembelea tukitoka UKerewe.
ReplyDeleteaisee panaonekana patulivu hapo...tupeni basi contacts si mnajuwa mambo ya ugenini...halfu ulinzi upoo????
ReplyDeleteUshaambiwa PAKI CHONJO unauliza ulinzi tena...Paki Chonjo maana yake park at your own risk..ndio maana ya chonjo. Paki mahala ambapo utaliona gari lako, ukilemaa hulikuti. Miye ndio nilivyoelewa jamani, labda wenyewe wafafanue.
ReplyDeleteMpendazoa
MMMH NIFANYE NIRUDI KWA BI MKUBWA SASA KUKAA UGENINI SANA BWANA UNAKUWA MSHAMBA NA HATA RAHA ZENYEWE HULI KUDADEKI
ReplyDeleteMandhari safi lakini jina lina tatizo, biashara lazima iwe na jina linaloipa biashara heshima fulani, ukisema pakichonjo unapunguza hadhi ya resort.
ReplyDeleteNitakuja kuwatembelea.
(US Blogger)