
Ni miaka 9 sasa tangu ulipoitwa na Bwana 12.04.2001, baba yetu mpendwa EMMANUEL ZEBEDAYO MWASUBILA tunakukumbuka sana kwa upendo,busara na hekima zako.
Unakumbukwa na mkeo Bertha Mwasubila,wanao Enock Bwigane , Victoria Ntuli , Edna Nisile na Allan Mponjoly , Mkweo Miriam Bwigane na mjukuu wako Aikman Alinanuswe.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa
Jina la Bwana lihimidiwe...
Amen
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...