Marehemu Mwl. Ernestina Kahabuka
DAKIKA, SAA, SIKU, MIEZI NA SASA MWAKA MMOJA KAMILI UMETIMIA TOKA ULIPOTUAGA TAREHE 15-APRIL-2009 NA KUZIKWA NYUMBANI KIJIJI CHA BUHANGARUTI, MUGANA PARISH, BUKOBA.
UNAKUMBUKWA DAIMA NA MME WAKO DR.F.C. KAHABUKA, WANAO-ANNY, OLIVA, MARY, PRIM, PELAGIA, WAKWE ZAKO, WAJUKUU ZAKO WOTE, MAJIRANI, NDUGU, JAMAA NA WOTE TUNAZIDI KUKUOMBEA UPUMZIKE MAHALI PEMA HUKO PEPONI, AMINA.
TUNAKUPENDA SANA LAKINI MUNGU ANAKUPENDA ZAIDI

Kutakuwa na misa ya kumwombea Marehemu Mwl Ernestina Kahabuka saa 12.30 asubuhi tarehe 15-April-2010 katika Kanisa Katoliki la Manzese. Ndugu na jamaa wote mnakaribishwa kushiriki
ReplyDeleteTAARIFA YA ZIADA. KUTAKUWA NA MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU, MAMA YETU ERNESTINA KAHABUKA, ITAKAYOFANYIKA KESHO TAREHE 15/04/2010 SAA 12.30 ASUBUHI KATIKA KANISA LA ROMAN CATHOLIC MANZESE NDUGU NA JAMAA WOTE MNAKARIBISHWA KUSHIRIKI
ReplyDeleteASANTE
OLIVA KAHABUKA
TUNASHUKURU KWA TAARIFA NA TUTAENDELEA KUMUOMBEA.
ReplyDeleteGEORGE KAHABUKA
RIP mwl Helena. Ulikuwa mwl wangu darasa la kwanza mwaka 1982 pale Mugana A. Jamani miaka inaenda so as people. Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu na azidi kuwabariki familia yake kwa kumfanyia yote haya. Ndaba omukyalo nkalugayo niila, nimwijuka munoo ma Helena jamani.
ReplyDeleteG.
Mwala w'omugenzi mwl Muikila.
Mwenyezi Mungu ambariki mama yetu mpendwa Ernestina.Tutazidi kumwombea.
ReplyDeleteAmina
Primus Kashonda