Marehemu Alhaj Mkambavange Kibodya March 1919 - April 2008 Ni miaka miwili sasa toka mzee wetu,
mshauri wetu,
baba yetu alipotutoka duniani.
Twamwomba Mwenyezi Mungu amjaalie mapumziko mema katika kabri na amjaalie kuwa miongoni mwa watu wa amali njema siku ya hesabu - Ameen!!
Unakumbukwa daima na wanao,
nduguzo, wajukuu zako na vilembwe wako.
"Inna Lillahi waina lillah rajiun"
Isaac A. Kibodya
Isaac A. Kibodya


Poleni kaka Isaac. Anaonekana mzee alikuwa bado na nguvu sana! Mungu akiamua hakuna upinzani. Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi, Amina!
ReplyDeleteMarko,
USA
M mungu amlaze pema peponi amin.michuzi ankal wangu m mungu alukalie nomejua msiba huu kwenye blog yakobinadam si kitu mzee mkamba tutamkumbuka wengi kwa roho yake ya imani na kupenda wapita njia.wakati nipo shule tunapita anatuambia jamani wajuukuu zangu hamjambo tunaenda kumsalimia anatuonesha picha za wanawetunaipenda picha nakuuliza picha nanimpiga pichagani kakupiga anajibu hapo ni studio marekani ndomana nzuri.najisikia uchungu kumpoteza babu yetu wa uhindin.mdau uhindindodoma poleni wote wanawa mkamba
ReplyDelete