NI MWAKA MMOJA KAMILI TOKA BABA YETU MPENDWA MZEE VICTOR MWAUGULUMU ULIPOTANGULIA, LAKINI UWEPO WAKO BADO UPO VILE VILE, INGAWAJE WEWE MWENYEWE HAUPO.
MTU WA KUZIBA PENGO LAKO HATOTOKEA. BABA,TUNAKUKUMBUKA KWA MENGI NA KUBWA ZAIDI ULITUJENGEA MISINGI YA MAISHA YA UKWELI, TUNA AHIDI KULILINDA HILO KUTOKA MIOYONI MWETU.
BABA UNAKUMBUKWA NA KIPENZI MKE WAKO-DIONICIA, WATOTO WAKO-VICENT,VICTORIA,VESTINER,VITUS,VALENCE,VERONICA NA VIVIAN.
WAJUKUU ZAKO-WAMBURA,BRIAN,MUKAMI, NYAMSWA NA NYANZALA, WINNIE,MARVIN NA DIONICIA.
BILA KUSAHAU NDUGU JAMAA NA MARAFIKI ZAKO WOTE.
FAMILIA IMEANDAA MISA JUMAPILI HII TAREHE 18.4.2010, KANISA LA MTAKATIFU MAURUS KURASINI DAR ES SALAAM. NI MISA YA KWANZA.

Poleni sana wafiwa kwa kuondokewa na kipenzi chenu. Ingekuwa vizuri pia mngetuwekea na jina la marehemu. Poleni sana.
ReplyDeleteNapenda kukumbushia tu mbona mumeweka picha tu na mmesahau kuweka jina la Mzee wetu.(walau watu waweze kujua ni Mzee nani) Nakumbushia tu.
ReplyDeletepoleni sana wafiwa nami naungana na wenzangu hapo juu kwamba tu mngetuambia hata jina la mzee wetu
ReplyDeleteJamani kwani macho yenu yako kisogoni?mbona jina hilo hapo in black ink?wameandika marehemu mzee victor mwaugulumu...Kweli boxii inaathiri hata uonaji.
ReplyDeleteWee Anon Apr 17, 5:29:00PM...FYI-jina hilo limewekwa baada ya mimi na wengine kukumbushia
ReplyDeleteanon wa apr 17,5:29:00PM kwa akili yako ilivyo finyu unadhani kwamba watu watatu hapo juu wote tuwe wajinga kukumbusha kuwekwa jina la marehemu? jina hilo halikuwepo na ulipoingia wewe ndio walikuwa wamefanya mabadiliko ya kuliweka jina! hekima sio lazima uende university kuisomea
ReplyDelete