
Lovely Gamble movie trailers will be screened.

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mpendwa mama balozi,mcheshi,mtanashati,mchapakazi na pia mtu wa watu,nimeishi uuwingereza kwa miaka nimeona mabalozi ambao walikuwa hawana uhusiano na watanzania wasio na undugu vigogo au utajiri kama mama majaar.kwa masikitiko makubwa na shingo upande ninapenda kumuaga mama balozi na familia yake kwaheri ya kuonana, kila la heri katika shughuli zako.inshalla mungu akuongezee
ReplyDeleteEti
ReplyDelete"...nimeona mabalozi ambao walikuwa hawana uhusiano na watanzania.."
Hivi hii inawezekanaje? Yaani, watu hawana uhusiano na Watanzania halafu wapewe Ubalozi wa kuiwakilisha Tanzania? Yaani hata mmoja kasoro huyu tu? Ebu tuifikirie hiyo kauli ya mwenzetu na tuichambue bila jaziba.
WANAMZIDISHIA SIFA MAMA BALOZI.nadhani huyu wa mwanzo anajikomba.
ReplyDeleteHuyu balozi sifahamiani naye lakini nampa heko. Sijasikia kabla yake balozi wa nchi yetu akipewa sifa kwa kuwa karibu na watu wake. wapiga box UK tukae mkao wa kula
ReplyDeleteoffcourse,huyu mama ni mpiga kazi wa ajabu,mbunifu,na yuko karibu na watu,sio mibalozi mingine inajifikiria yenyewe tu
ReplyDeleteKWELI KIZURI HAKIDUMU..MMEMUONA HUYU MAMA ANAFAA SASA MMETIA MAJUNGU MPAKA AMEONDOSHWA..SASA TUONE HUYO ATAKAYEKUJA...SINA HAJA YA KUSEMA MENGI HAPA.....
ReplyDeletekweli ni tukio zuri si la kupitwa,ni vizuri tukasherekea sikukuu ya muungano wa bara na visiwani pia tukamuaga mama balozi pia. ila sijapendezwa na hiyo programme ya kuonyesha trailer ya lovely gamble movie. inahusu nn hapa? haiingiliani na shughuli hii. au kuna watu binafsi wananufaika na hilo? kama movie zote za kibongo zingefanywa hivi,basi ingekuwa kazi kubwa. pls dont spoil the whole good idea by screening these clips there!!
ReplyDeletesisi tutafuata hotuba ya kuagwa na balozi na magita. sasa hayo ya kuonyesha movie yanatokea wapi? ilibidi wapange mambo ya marketing b4 they did the movie. hivyo wangefanya research yao mapema,sio kutukalisha sisi watu wazima chini kwenye viti kuangalia movie,kwani pale sio empire au odeon,ebo!!!
ReplyDeletehii imekaa poa sana. hata mimi kwa mara ya kwanza nitatoka out tokea nije nchi hii kwani hamna kiingilio. siku zote mlikuwa wapi kufanya mambo haya?
ReplyDeleteNAOMBA UFAFANUZI JUU YA HIYO TANZANIA NATIONAL DAY - APRIL 1st AU NI APRIL FOOL'S DAY?
ReplyDeleteANYWAYZ, KARIBU USA MAMA BALOZI WE NEED SOMEONE WITH YOUR DYNAMIC ENERGY... IT IS HIGH TIME..COZ WASHINGTON DC NEEDS SOMEONE LIKE YOU AROUND TO CLEAN UP AND PUT US ON THE MAP.
Mtajuaje hiyo Movie wanasponsor that event....
ReplyDeletekama hamtaki basi jichangisheni muweke party yenu bila Movie....
Mabalozi wa huku tunakoishi wanafanya catering tu....hawajui kazi zao...Huyo mama namuona kila siku kwenye picha tafuta wa kwetu kwenye event yeyote kama utamwona
ReplyDeleteKaribu USA but we are very buisy . Hii bi capitalist country muda wa matawi ya CCM hamna . Na ninahisi hawaruhusu . 24 hours on clock .
ReplyDeleteMKATA ISSUE ni wale watu ambao they felt sad and lonely,hana watu wa kuongea nao akifika kwenye mtandao ye ni mbishi mbishi tu,huyu bwana anaweza kuanzisha ugomvi akijitazama kwenye kioo.kama huna dondoo za kuandika usiandike kitu.
ReplyDelete