The Smoking Ban
After public smoking was banned in Kenya , each town clerk was assigned the duty of
posting notices in Kiswahili to that effect. See how different councils posted their
notice: Other councils are still working on theirs.......

The Mombasa Town Clerk
wrote: Uvutaji wa sigara umepigwa marufuku kuanzia leo.Watakaopatikana wakikiuka amri
hii wataadhibiwa kwa mujibu wa sheria. Nyote zingatieni.

The Kiambu Town Clerk:
Wanyuanji wa thigara washunge sana . Unyuanji wa thigara bere ya watu hata huko ije umefigwa marufuku na kaju kuanjia reo.

The Machakos Town Clerk:
Wavulutanji tusikala wasunge sana . Sasa kuvuluta tusikala ni maluvuku na kanzu ya Masaku itawasukulia atua kuvwa sana .

The Kisumu Town Clerk:
Atenson Plis!!! Mifuto sgara adharani sasa omepigwa marofuku. Okipaatwa, ibiro yie Kodiaga! Apana furuta Plis!!

Wajir Town Clerk:
Habana iko buruta sigara. Yeye lishapigwa marufuk na sisi
tagaamata mutu b hahala yaghe kiburuta.

Kericho Town Clerk:
Gutoga leo gugunywa na gufuruta sigara sisi nagshagataasa.
Haguna!! Charipu wee taona!!!

Kisii and Nyamira Town Clerk
Akuna kukunywa sigara hapa ndani na inche kuansia reo. Mutakaobatikana mutakura kiboko saa hiyo hiyo. Wote munaombua kujiatari sana.

Other Councils are still working on theirs.......

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hahahahaaaa, very funny...'akuna kukunywa sigara...wote munaombua kujiatari sana', very funny!

    ReplyDelete
  2. Wilaya ya Loliondo: Ero sichome tumbaku hapa- marukufu!! Kama nataka kufuta tia ndani ya pua yako. lakini ikitoa moshi, takula kwako! kama hujui maana ya kula kwako vuta sigara uone!

    ReplyDelete
  3. Chakechake Pemba: Yaakhe usivuute sigara pahala hapa. Tukikumata tutakushughulikia kisawasawa ati!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...