Mwanafunzi wa mafunzo ya kuendesha gari, Krisztina Jaksa (24), wakati akijifunza kuendesha ndipo alipo angusha gari, na hii ilikuwa mara yake ya pili ya mafunzo hayo. Kwa bahati nzuri yeye na mwalimu wake hawakuumia. Hii imetokea huko Headington, karibu na Oxford, na shule inaitwa BRITISH SCHOOL OF MOTORING.
Zaidi; www.barakachibiriti.blogspot.com
Zaidi; www.barakachibiriti.blogspot.com


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...