Ujumbe huu unawahusu wale wote wanaoendesha blogu/tovuti kwa bure katika mtandao wa Ning, kwamba watarajie karibuni (takriban wiki mbili zijazo) kupokea ujumbe toka menejimenti ya Ning kuhusiana na mabadiliko muhimu. Taarifa hii ni kwa mujibu wa tovuti ya habari za mitandao jamii ya TechCrunch inayosema, 'Ning’s Bubble Bursts: No More Free Networks'
"Ning is making some major changes: It has just announced that it is killing off its free product, forcing existing free networks to either make the change to premium accounts or migrate their networks elsewhere. Rosenthal has also just announced that the company has cut nearly 70 people of its staff."
Soma habari kamili kwenye linki hii:

www.wavuti.com

maskini Global pub tutaikosa sasa va bure navo havifai lol
ReplyDeleteKWANI WEWE NI MUWAKILISHI WA NING????....AU UNATAKA KUWA WA KWANZA KUTOA HIZI HABARI, AU UNATANGAZA TOVUTI YAKO KIAINA???
ReplyDelete